Anadai anataka kuwa na mimi

Anadai anataka kuwa na mimi

Habar zenu wanajamvini.
Mimi n kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zmeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurud nyumbani.
Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atantafuta mwenyewe,haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).

Siku iliyofuata alpokuwa anarud akaomba turud wote,haikuwa tabu.Siku zmeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi,imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakn yuko mkoa mwingne.

Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.

Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyew bora nmwambie ukwel as nkahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.

Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".
Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenz ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni ashk majinun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hautabaki salama, Kama utafanikiwa kuvunja uhusiano wa wenzio na wewe uhusiano wako utavunjwa siku moja, kama leo kakutana na wewe anafikiria kuvunja uhusiano wake, atashindwa nin kuvunja uhusiano na wewe akikutana na mtu mwingine! ?
 
ATAKUTANA NA MWINGNE ATAAMBIWA KAMA ULIVYOAMBIWA WEWE

UJUE SI KILA DEMU UNAYEMTONGOZA LAZMA AWE MKEO, WENGNE NI WA KUOMBWA PAPUCH TU.

KAMA HUYO ULITAKIWA UMWOMBE MZGO TU BASI. MAPENZ MWACHIE YEYE NA BOY WAKE
 
Tafuta mwingine,ushajua ana mtu wake kwanza hukutakiwa kumwambia hisia zako,ulichofanya ni kumpa wakati mgumu wa kuamua,haipendezi kuwa sbb ya kuvunja uhusiano wa Mwanaume mwenzio,tena pengine jamaa kawekeza sana kwa huyo mtoto wa kike.

Philips X2560
 
Sawa bos.zmefka ila I ned 2 b sure asee maana hawa wanawake hatar.Dakka 0 wamekugeuka!!
Mkuu usitegemee jipya kutoka kwake. Usiangalie nani alitangulia au nani yupo naye kwa sasa au nani atafuata baada yako. We enjoy muda ambao upo nae siku yoyote kitanuka.

Uki expect kitu kutoka kwake utaumia tu. Hujamkuta bikira huyo

Mpumalanga
 
ATAKUTANA NA MWINGNE ATAAMBIWA KAMA ULIVYOAMBIWA WEWE

UJUE SI KILA DEMU UNAYEMTONGOZA LAZMA AWE MKEO, WENGNE NI WA KUOMBWA PAPUCH TU.

KAMA HUYO ULITAKIWA UMWOMBE MZGO TU BASI. MAPENZ MWACHIE YEYE NA BOY WAKE
Hii ni kweli mkuu. Yeye anataka kuweka kambi

Mpumalanga
 
Habar zenu wanajamvini.
Mimi n kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zmeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurud nyumbani.
Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atantafuta mwenyewe,haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).

Siku iliyofuata alpokuwa anarud akaomba turud wote,haikuwa tabu.Siku zmeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi,imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakn yuko mkoa mwingne.

Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.

Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyew bora nmwambie ukwel as nkahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.

Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".
Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenz ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasoma chuo??
 
Habari zenu wanajamvini,

Mimi ni kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zimeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurudi nyumbani.

Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atanitafuta mwenyewe, haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).

Siku iliyofuata alipokuwa anarudi akaomba turudi wote, haikuwa tabu.Siku zimeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi, imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakini yuko mkoa mwingine.

Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.

Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyewe bora nmwambie ukweli as nikahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.

Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".

Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenzi ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri mpaka aachane na boyfriend wake (ila kumbuka ameshatumika)

Huwezi kuita hayo ni Mapenzi ya kweli wakati wewe bado upo upo hujawa wake rasmi kwa hiyo vuta subira ujiridhishe kama ana upendo wa kweli ama la...ni mapema mno kusema hapo kuna mapenzi ya kweli
 
Tuna haraka sana ya kuingia kwenye mahusiano. Wiki mbili umeshamtongoza. Haya akaachana na boyfriend wake. Akawa na wewe. Ndo mnaanza kusomana tabia mkiwa kwenye mahusiano tayari? Ili mkishindwana mchukiane baadaye?

Ukiona unafanya haraka kutaka kuingia kwenye mahusiano n mtu kabla hujamfahamu jua ni tamaa na upweke tu unakusumbua.

Mwambie, samahani kwa maneno niliyoyasema juzi. Kwa kuwa siwezi kuyafuta, basi naomba kusema hivi, nimevutiwa na wewe. Nilichomaanisha hasa, ni kutaka kukufahamu kama rafiki. Baada ya urafiki wetu kukua, nitakutamkia rasmi upendo wangu kwako maana hapo nitakuwa nina uhakika na compatibility yetu kuwa pamoja. La, tukiona hatuna ufanano huo, tutabaki marafiki.

Ninachohofia sana hapa ni mtu kuachana na mtu wake kwa kuwa kakutana na mtu mwingine. Aidha, hakuwa anampenda huyo mtu wake na alijua hawana future yoyote ila kwa kuhofia kubaki mpweke au kwa manufaa yake mwenyewe ayajuayo, akaendelea kubako kwenye huo uhusiano. Wakati mwingine, ni kweli unakuwa umekutana na aliye sahihi, ila kama ndani ya wiki mbili umemtamkia mapenzi/mahusiano, inaharibu il purity ya lengo.

Il kwa hili ningekushauri uache ujipange upya kwa mwingine. Au acha kuonana na kuwasiliana naye kwa muda. Kisha ujipange kuanza upya. Kaa hatamwezi, baada ya mwezi mtafute uone alipo na uhusiano wake. Kama bado wapo pamoja utakuwa umepata jibu. Yani my point is, mpe muda wa kufanya maamuzi bila kuwa na ushawishi (influence) wako. Usimwambie unakata mawasiliano kwa sababu gani...just stop communicating. Baada ya mwezi mtafute.

I guarantee you..hatakuwa ameachana na huyo mwenzake.

Onyo langu tu, epuka ngono.
 
Back
Top Bottom