Anachotambia TENDWA ni HIKI...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mkwara wa John Billy Tendwa umejikita kwenye kifungu nambari 19 cha Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na kifungu cha 12 cha Sheria Nambari 7 ya mwaka 2009. Kifungu hiki cha Sheria tajwa,kinampa Mamlaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kukifuta chama chochote cha siasa kilichosajiliwa kama chama husika kitavunja mashari ya Sheria ya Vyama vya Siasa au kitakosa sifa ya kuwa chama cha siasa. Vifungu husika viko hivi:

19-(1) Subject to subsection (2) the Registrar may cancel the registration of anypolitical party which has contravened any of the provisions of this Act or whichhas otherwise ceases to qualify for registration under this Act.(2) The Registrar shall not cancel the registration of any party unless—a) he has, in writing, informed the party concerned of the contravention or theloss of qualification and of the intention to cancel the registration;b) he has received or failed to receive, within the period.
Prescribed by him, any representations from the party concerned;(c) he has submitted to the Minister the intention to cancel the registration of the partytogether with any representations made by the party and the Minister has agreed
to such cancellation.
(Sheria ya Vyama vya Siasa,2002)

12. Section 19 of the principal Act is amended-(a) in paragraph (c) of subsection (2) by-(i) inserting a full stop immediately after the word"party" appearing in the third line;(ii) deleting the phrase "and the Minister has agreed tosuch cancellation" appearing immediately after theword "party";(b) by adding the following provision immediately aftersubsection (2):"(3) Notwithstanding powers of the Registrar tocancel the registration of a political party, the Registrarshall not cancel registration of a political party if theperiod during which the General Elections would be held
does not exceed twelve months."
(Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa,2009).

Kimsingi, Tendwa anayo mamlaka.Lakini,pombe yake ya kisiasa amelewa mapema. Kufuta chama kuna taratibu zake kama zilivyoainishwa chini ya kifungu 19 kilichotajwa. Mikwara haipo kwenye taratibu hizo. Yawezekana haelewi. Akirudia tena kuropokaropoka kama alivyofanya,hatua kali zaidi zitachukuliwa dhidi yake. Awe makini na 'ulanzi' wa CCM...

Hata afanyeje hawezi kuifuta CDM kwenye ramani ya siasa za Tanzania, kama anataka kuifuta CDM aanze na CCM maana wao ndiyo wanaoleta vurugu kwenye nchi hii.
 
".........kama chama husika kitavunja mashari ya Sheria ya Vyama vya Siasa au kitakosa sifa ya kuwa chama cha siasa" hayo masharti ni yapi angalau kwa "heading" zake VUTA-NKUVUTE
 
Last edited by a moderator:
Mkwara wa John Billy Tendwa umejikita kwenye kifungu nambari 19 cha Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na kifungu cha 12 cha Sheria Nambari 7 ya mwaka 2009. Kifungu hiki cha Sheria tajwa,kinampa Mamlaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kukifuta chama chochote cha siasa kilichosajiliwa kama chama husika kitavunja mashari ya Sheria ya Vyama vya Siasa au kitakosa sifa ya kuwa chama cha siasa. Vifungu husika viko hivi:

19-(1) Subject to subsection (2) the Registrar may cancel the registration of anypolitical party which has contravened any of the provisions of this Act or whichhas otherwise ceases to qualify for registration under this Act.(2) The Registrar shall not cancel the registration of any party unless-a) he has, in writing, informed the party concerned of the contravention or theloss of qualification and of the intention to cancel the registration;b) he has received or failed to receive, within the period.
Prescribed by him, any representations from the party concerned;(c) he has submitted to the Minister the intention to cancel the registration of the partytogether with any representations made by the party and the Minister has agreed
to such cancellation.
(Sheria ya Vyama vya Siasa,2002)

12. Section 19 of the principal Act is amended-(a) in paragraph (c) of subsection (2) by-(i) inserting a full stop immediately after the word"party" appearing in the third line;(ii) deleting the phrase "and the Minister has agreed tosuch cancellation" appearing immediately after theword "party";(b) by adding the following provision immediately aftersubsection (2):"(3) Notwithstanding powers of the Registrar tocancel the registration of a political party, the Registrarshall not cancel registration of a political party if theperiod during which the General Elections would be held
does not exceed twelve months."
(Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa,2009).

Kimsingi, Tendwa anayo mamlaka.Lakini,pombe yake ya kisiasa amelewa mapema. Kufuta chama kuna taratibu zake kama zilivyoainishwa chini ya kifungu 19 kilichotajwa. Mikwara haipo kwenye taratibu hizo. Yawezekana haelewi. Akirudia tena kuropokaropoka kama alivyofanya,hatua kali zaidi zitachukuliwa dhidi yake. Awe makini na 'ulanzi' wa CCM...

CDM wamesoma na kuelewa kuwa Tendwa ana uwezo wa kuwafutia usajili?
 
Hata afanyeje hawezi kuifuta CDM kwenye ramani ya siasa za Tanzania, kama anataka kuifuta CDM aanze na CCM maana wao ndiyo wanaoleta vurugu kwenye nchi hii.

Inaoneakana kweli humu mambumbumbu ni wengi sana, hata baada ya kuwekewa hapo Vifungu vinavyompa Tendwa Mamlaka ya kufuta Chama cha siasa bado mnahangaika. kaz kweli kweli.
 
Nadhani kuna kila sababu sheria hii ifanyiwe marekebisho tena ili pia msajili wa vyama vya siasa aweze kuchukuliwa hatua endapo kwa makusudi au kwa kukosa uwezo anashindwa kivitendea haki sawa vyama vyote vya siasa!
 
Nataka kuona ujasiri wa Tendwa wa kuifuta CDM na si kukaa kuongea tu na kutishia.
 
Sidhani kama kinampa haki ya kukifuta chama, nachoona INAMPA HAKI YA KUANZISHA CIVIL WAR

Tendwa kwa hali yeyote hawezi kukifuta chama chenye wabunge tena chama kikuu cha upinzani bungeni. Kufanya hivyo ni kukaribisha maafa nchini. Ninamshauri aache kuropoka ropoka kuhusu hili la kukifuta chama cha CDM. Kama anataka kuona matokeo ya hili analosema ajaribu atajuta kuzalliwa na mwanamke.
 
Kama yeye kweli ni Mlumendago, ajaribu aone. Wameshindwa kuwakamata mafisadi ambao wanaonekana wazi kama vazi la changu, na kuwaacha wanaendelea kutanua mitaani, anataka kutuletea matege yake ya akili hapa!
 
Mkwara wa John Billy Tendwa umejikita kwenye kifungu nambari 19 cha Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na kifungu cha 12 cha Sheria Nambari 7 ya mwaka 2009. Kifungu hiki cha Sheria tajwa,kinampa Mamlaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kukifuta chama chochote cha siasa kilichosajiliwa kama chama husika kitavunja mashari ya Sheria ya Vyama vya Siasa au kitakosa sifa ya kuwa chama cha siasa. Vifungu husika viko hivi:

19-(1) Subject to subsection (2) the Registrar may cancel the registration of anypolitical party which has contravened any of the provisions of this Act or whichhas otherwise ceases to qualify for registration under this Act.(2) The Registrar shall not cancel the registration of any party unless-a) he has, in writing, informed the party concerned of the contravention or theloss of qualification and of the intention to cancel the registration;b) he has received or failed to receive, within the peri
od........
Ni kweli amepewa mamlaka ya kufuta chama, lakini kwa mujibu wa sheria hiyo hiyo hawwezi kufanya hivyo mpaka chama kiwe kimetenda kosa. Na pia, siadhani kama ni jambo zuri kwa mtu au taasisi kutishia wengine eti kwa sababu tu una mamlaka fulani juu yao. Nilidhani mtu mwenye mamlaka anatakiwa, at least kwa mara ya kwanza, kutoa maelekezo kwa mtu au taasisi anayodhani kuwa inatenda kosa
 
Walipewa madarakaa, wakayatumia vibayaa
Walipewa madarakaa, wakalala usingiziiii
Tembo wanateketea eeeeh
Uchumi wa taifaaa, unatoweka

RIP Ramadhani Mtoro Ongala aka Dr Remmy Ongala.
 
Tendwa ana uwezo wa kufuta CDM lakini ideology za CDM hawezi zifuta mioyoni mwa watu. Ndipo kitakapokuja chama kingine kitaiitwa kina fujo mwisho ni vita tu.
 
Back
Top Bottom