Kwamba vita ya Lema Lissu na Makonda imeanza baada ya Makonda kupewa uenezi!?Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani
Wanaccm baadhi wanapoona kuna mtu ni tishio kwa hatma ya mustakabali wao kisiasa,akionyesha kupata ushawishi na wafuasi wengi hutumia mbinu mbalimbali kummaliza,wakiwanunua baadhi wanasiasa wa upinzani kufanya kazi hiyo
Mfano nimefuatilia kipindi cha mahojiano startv kati ya Godless Lema na Odemba,maudhui yalitawaliwa na jina la MAKONDA tu kwa asilimia kubwa
Kingine ni mahojiano ya Lissu na mwandishi wa Mwanahalisi mada kuu ilikuwa MAKONDA tu,hii inaonyesha ni kwamba kiumbe huyu zinatumika mbinu zote kuhakikisha anashushwa,na walio nyuma ya hii agenda ni wanaccm wenyewe
Hivyo basi yaliyotokea kwa Lowassa ndio yanayoendelea kwa MAKONDA,wataibuka wengi kimkakati kuhakikisha MAKONDA anaanguka kisiasa.
Mbona kabla ya kupewa uenezi vita ya Lema ilikuwa dhidi ya bodaboda?Kwamba vita ya Lema Lissu na Makonda imeanza baada ya Makonda kupewa uenezi!?
Hizo hela mnazopewa kufanya propaganda humu jf si wawe wanawafanyia usaili kwanza angalau wapate watu wenye uelewa kidogo!?
Wapumbavu ninyi wala hatutumii akili kuwajua, mnajulikana tu kwa maandishi yenuKilichopandishwa na kuinuliwa kwa mkono wa Mwenyezi Mungu hakiwezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu yeyote yule. Mheshimiwa Makonda amepandishwa na kuinuliwa na mkono wa Mungu na hivyo hakuna mwanadamu wa aina yoyote ile anayeweza kumshusha kwa hila au fitina za aina yoyote ile.
Alipanda kwa maombi na atalindwa kwa maombi ya watanzania wanyonge ambao Mheshimiwa Makonda amekuwa mtetezi wao,sauti yao na kimbilio lao. Hakujipandisha yeye kama yeye bali ni mipango ya Mungu katika kumuandaa kuja kuchukua majukumu makubwa sana kwa Taifa letu.
Ukimya wake Lowassa ndio ulimponza,Lowassa hakuwa Mropokaji
alikuwa Mpanga mikakati hatare sana
2015 asingekuwa anakabiliana na Rais anaemjua nje ndani angeweza kumzidi ujanja
Lowassa na JK wa 2005 waliweza kumzidi ujanja hadi Mkapa
changamoto ya 2015 alikutana tu na Rais anae share nae Marafiki akampandikizia mamluki
Lowassa alikuwa Mnyeyekevu sana kwa Rafiki na mitandao yake Makonda hana hii hulka
Na wewe unawaza kwamba Kuna siku Paulo atakuwa mkubwa? ThubutuNimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani
Wanaccm baadhi wanapoona kuna mtu ni tishio kwa hatma ya mustakabali wao kisiasa,akionyesha kupata ushawishi na wafuasi wengi hutumia mbinu mbalimbali kummaliza,wakiwanunua baadhi wanasiasa wa upinzani kufanya kazi hiyo
Mfano nimefuatilia kipindi cha mahojiano startv kati ya Godless Lema na Odemba,maudhui yalitawaliwa na jina la MAKONDA tu kwa asilimia kubwa
Kingine ni mahojiano ya Lissu na mwandishi wa Mwanahalisi mada kuu ilikuwa MAKONDA tu,hii inaonyesha ni kwamba kiumbe huyu zinatumika mbinu zote kuhakikisha anashushwa,na walio nyuma ya hii agenda ni wanaccm wenyewe
Hivyo basi yaliyotokea kwa Lowassa ndio yanayoendelea kwa MAKONDA,wataibuka wengi kimkakati kuhakikisha MAKONDA anaanguka kisiasa.
Unafiki wenu huko ccm mmalizane wenyewe....wapinzani wanahusika vipi?Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani
Nouma SanaLowassa hakuwa Mropokaji
alikuwa Mpanga mikakati hatare sana
2015 asingekuwa anakabiliana na Rais anaemjua nje ndani angeweza kumzidi ujanja
Lowassa na JK wa 2005 waliweza kumzidi ujanja hadi Mkapa
changamoto ya 2015 alikutana tu na Rais anae share nae Marafiki akampandikizia mamluki
Lowassa alikuwa Mnyeyekevu sana kwa Rafiki na mitandao yake Makonda hana hii hulka
Unazunguka mbuyu???Lowassa hakuwa Mropokaji
alikuwa Mpanga mikakati hatare sana
2015 asingekuwa anakabiliana na Rais anaemjua nje ndani angeweza kumzidi ujanja
Lowassa na JK wa 2005 waliweza kumzidi ujanja hadi Mkapa
changamoto ya 2015 alikutana tu na Rais anae share nae Marafiki akampandikizia mamluki
Lowassa alikuwa Mnyeyekevu sana kwa Rafiki na mitandao yake Makonda hana hii hulka
Kanda maalum najua mnachopitia hata siwalaum. 17/3/2021 ilikuwa pigo kubwa kwenu.Kwakuwa wewe ni mungu sawa