Anacheza Wimbo gani huyu?

Huyo atakuwa anacheza "kwangwaru", halafu miguu yake ilivyokomaa na hiyo mikono ni kama mwanaume kabisa!
 
''Hatunywi sumu hatujinyongiii......[emoji445]"
 
Kwa haraka haraka nilidhani WABOGOJO!
 
Eee kibinda kibinda kibinda eeee.. ee kibinda nkoi,,
 
Yawezekana angevaa vizuri angevutia zaidi kuliko kuvaa kipensi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…