anacheka nini

anacheka nini

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,553
Reaction score
41,467
Jamaa ana tatizo kaingia kwa
Daktari ikawa kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku
sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba
usicheke, pliz dkt usicheke.
Daktari : usijari mimi hii ndo kazi
yangu siwezi kumcheka
mgonjwa.
Jamaa akavua suruali kuonesha
dushelele yake. basi dokta kuona
ustaarabu ukamshinda akaanza
kucheka na akacheka kama dk 3
hadi machozi yakamtoka. kwani
dushelele ya jamaa ni kadogo
kama betri Ya AAA (betri za
remote ya king'amuzi).
Daktari alipomaliza kucheka
mazungumzo yakaendelea,,
Daktari : enhee Tatizo ni nini???
Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,
Daktari Akazimia pale pale......
 
jf yaburudisha stress kushnei babujii...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom