Kama wasomi ndo nyinyi Basi Tanzania Bado tupo nyuma Africa mashariki mim nipo hapa Kisumu Kenya graduates yaani degree ni wengi na huwezi kuta analalamika ajira na Hapa Kenya maisha ni magumu kweli ardhi ya Kilimo shida na makaz shida, lkn sis watz ardhi ya bure lakin vijana malalamiko kibao HIV kweli tutaweza kushindana na Wakenya. Waganda. Wanyarwanda Warund na wasudani,? Jamani vijana tuamke achaneni na Siri Kali hawana jipya