Mambo mengine siyo wanajiandikia andikia tu. Hebu wewe Yericko Nyerere hebu ukuje utueleze hapa. Hao 89% ya wachezaji wasiofaa kuitumikia Simba ni wachezaji gani? Hawa waliofikisha Simba robo fainali ya African Champions league?yerickonyerere
Ndugu @moodewji, @salim_tryagain
na Mutaza Mangungu, Nini mnaweza kutuambia mashabiki tukawaelewa baada ya leo kuhitimisha msimu Simba ikikosa makombe yote? Simba imekosa ubingwa wa ngao ya Jamii, imekosa ubingwa wa Mapinduzi, imekosa ubingwa wa ligi kuu, imekosa ubingwa wa Klabu Afrika. Na sasa tumebakiwa na Super league tu. Iwe mwanzo na mwisho kuleta utapeli katika usajili wa wachezaji!
Ni ukweli usiopingika wachezaji wa Simba 80% hawana sifa ya kutumikia klabu hii, usajili msimu huu ulikuwa ni wa kitapeli tangu klabu yetu ifanye mageuzi ya kimfumo katika kipindi cha miaka kumi hivi iliyopita. Tuliletewa wachezaji magalasa na free agent wengi ili kuziba macho ya wanasimba kisa chaguzi. Lakini ni ukweli mtupu kwamba Mwekezaji wetu Dewji alituchuuza akashindwa kutos pesa ya usajili, Amekuja kurudi bada ya kuona timu imefuzu kwenda makundi ya klabu bingwa kwakuwa huko kuna maokoto. Ukweli huu mchungu anatakiwa kuambiwa wazi kwamba Simba sio familia yake anayoweza kuifanyia chochote cha ajabu na cha mzaha askosolewe. Huyu alisusa tumu akaenda kwenye ngumi. Alipoona timu imefuzu kimiujiza tu akarejea.
Hebu tukubaliane jambo moja, Mohamed Dewji anamiliki hisa 49% kama hajazilipia kwanini milango isifunguliwe ziuzwe kwa mwekezaji mwingine atakayeweka mzigo wa kutosha na tukaepuka hii susasusa ya kimanyema? Kama hilo ni gumu kuuza hisa kwakuwa alishalipia kwa njia ya kiini macho cha hundi, Basi tukubaliane hisa za wanachama 51% zitolewe kiasa ziuzwe kwa mwekezaji mwenza (kama mwanachma) ili tuache kuonekana tumeshikilia hisa 51% wakati hatuna hata hela ya usajili wala ya kuendeshea klabu. Zinafaida gani kuonekana wanachama tuna hisa hizo ikiwa hazileti pesa?
Viongozi wa Simba acheni urasmu, fungueni milango ya wadau wapya waingie katika klabu waweke pesa. Lakini vilevile Serikali Wizara ya Michezo na Wizara ya Biashara na Uwekezaji, Acheni Urasmi, Simba na Yanga sio mali ya kisiasa, wala sio vitengo vya ccm, Vilabu hivi dunia ya leo ni Biashara ya uwekezaji, Malizieni mchakato wa mabadiliko. Simba haistahili kusajili mchezaji wa 100M au 150M, wachezaji wa bei hizo wanastahili Namungo, Azam, na Ihefu huko. Simba hadhi yake ni mchezaji wa 400M na kuendelea
Na YN
UNAMWAMBIA YN NINI KWA MAONI HAYA JUU YA KLABU YAKE(YENU)
Simba nao walivyo wepesi kusahau. Juzi tu walikuwa wanasifia kocha na wachezaji. Leo asilimia 80 ya wachezaji hawafai kuchezea Simba.Ndugu Mo Dewji, Salim Tryagain na Mutaza Mangungu, Nini mnaweza kutuambia mashabiki tukawaelewa baada ya leo kuhitimisha msimu Simba ikikosa makombe yote? Simba imekosa ubingwa wa ngao ya Jamii, imekosa ubingwa wa Mapinduzi, imekosa ubingwa wa ligi kuu, imekosa ubingwa wa Klabu Afrika. Na sasa tumebakiwa na Super league tu. Iwe mwanzo na mwisho kuleta utapeli katika usajili wa wachezaji!
Ni ukweli usiopingika wachezaji wa Simba 80% hawana sifa ya kutumikia klabu hii, usajili msimu huu ulikuwa ni wa kitapeli tangu klabu yetu ifanye mageuzi ya kimfumo katika kipindi cha miaka kumi hivi iliyopita. Tuliletewa wachezaji magalasa na free agent wengi ili kuziba macho ya wanasimba kisa chaguzi.
Lakini ni ukweli mtupu kwamba Mwekezaji wetu Dewji alituchuuza akashindwa kutos pesa ya usajili, Amekuja kurudi bada ya kuona timu imefuzu kwenda makundi ya klabu bingwa kwakuwa huko kuna maokoto. Ukweli huu mchungu anatakiwa kuambiwa wazi kwamba Simba sio familia yake anayoweza kuifanyia chochote cha ajabu na cha mzaha askosolewe. Huyu alisusa tumu akaenda kwenye ngumi. Alipoona timu imefuzu kimiujiza tu akarejea.
Hebu tukubaliane jambo moja, Mohamed Dewji anamiliki hisa 49% kama hajazilipia kwanini milango isifunguliwe ziuzwe kwa mwekezaji mwingine atakayeweka mzigo wa kutosha na tukaepuka hii susasusa ya kimanyema? Kama hilo ni gumu kuuza hisa kwakuwa alishalipia kwa njia ya kiini macho cha hundi, Basi tukubaliane hisa za wanachama 51% zitolewe kiasa ziuzwe kwa mwekezaji mwenza (kama mwanachma) ili tuache kuonekana tumeshikilia hisa 51% wakati hatuna hata hela ya usajili wala ya kuendeshea klabu. Zinafaida gani kuonekana wanachama tuna hisa hizo ikiwa hazileti pesa?
Viongozi wa Simba acheni urasmu, fungueni milango ya wadau wapya waingie katika klabu waweke pesa. Lakini vilevile Serikali Wizara ya Michezo na Wizara ya Biashara na Uwekezaji, Acheni Urasmi, Simba na Yanga sio mali ya kisiasa, wala sio vitengo vya ccm, Vilabu hivi dunia ya leo ni Biashara ya uwekezaji, Malizieni mchakato wa mabadiliko. Simba haistahili kusajili mchezaji wa 100M au 150M, wachezaji wa bei hizo wanastahili Namungo, Azam, na Ihefu huko. Simba hadhi yake ni mchezaji wa 400M na kuendelea
Na YN
UNAMWAMBIA YN NINI KWA MAONI HAYA JUU YA KLABU YAKE(YENU)
Huyo Simba mwenzenu.Mmepata chaka la kuongelea sasa...
Pole yakeNdugu Mo Dewji, Salim Tryagain na Mutaza Mangungu, Nini mnaweza kutuambia mashabiki tukawaelewa baada ya leo kuhitimisha msimu Simba ikikosa makombe yote? Simba imekosa ubingwa wa ngao ya Jamii, imekosa ubingwa wa Mapinduzi, imekosa ubingwa wa ligi kuu, imekosa ubingwa wa Klabu Afrika. Na sasa tumebakiwa na Super league tu. Iwe mwanzo na mwisho kuleta utapeli katika usajili wa wachezaji!
Ni ukweli usiopingika wachezaji wa Simba 80% hawana sifa ya kutumikia klabu hii, usajili msimu huu ulikuwa ni wa kitapeli tangu klabu yetu ifanye mageuzi ya kimfumo katika kipindi cha miaka kumi hivi iliyopita. Tuliletewa wachezaji magalasa na free agent wengi ili kuziba macho ya wanasimba kisa chaguzi.
Lakini ni ukweli mtupu kwamba Mwekezaji wetu Dewji alituchuuza akashindwa kutos pesa ya usajili, Amekuja kurudi bada ya kuona timu imefuzu kwenda makundi ya klabu bingwa kwakuwa huko kuna maokoto. Ukweli huu mchungu anatakiwa kuambiwa wazi kwamba Simba sio familia yake anayoweza kuifanyia chochote cha ajabu na cha mzaha askosolewe. Huyu alisusa tumu akaenda kwenye ngumi. Alipoona timu imefuzu kimiujiza tu akarejea.
Hebu tukubaliane jambo moja, Mohamed Dewji anamiliki hisa 49% kama hajazilipia kwanini milango isifunguliwe ziuzwe kwa mwekezaji mwingine atakayeweka mzigo wa kutosha na tukaepuka hii susasusa ya kimanyema? Kama hilo ni gumu kuuza hisa kwakuwa alishalipia kwa njia ya kiini macho cha hundi, Basi tukubaliane hisa za wanachama 51% zitolewe kiasa ziuzwe kwa mwekezaji mwenza (kama mwanachma) ili tuache kuonekana tumeshikilia hisa 51% wakati hatuna hata hela ya usajili wala ya kuendeshea klabu. Zinafaida gani kuonekana wanachama tuna hisa hizo ikiwa hazileti pesa?
Viongozi wa Simba acheni urasmu, fungueni milango ya wadau wapya waingie katika klabu waweke pesa. Lakini vilevile Serikali Wizara ya Michezo na Wizara ya Biashara na Uwekezaji, Acheni Urasmi, Simba na Yanga sio mali ya kisiasa, wala sio vitengo vya ccm, Vilabu hivi dunia ya leo ni Biashara ya uwekezaji, Malizieni mchakato wa mabadiliko. Simba haistahili kusajili mchezaji wa 100M au 150M, wachezaji wa bei hizo wanastahili Namungo, Azam, na Ihefu huko. Simba hadhi yake ni mchezaji wa 400M na kuendelea
Na YN
UNAMWAMBIA YN NINI KWA MAONI HAYA JUU YA KLABU YAKE(YENU)
Nmekuelewa hapo kwenye kuifunga YangaMambo mengine siyo wanajiandikia andikia tu. Hebu wewe Yericko Nyerere hebu ukuje utueleze hapa. Hao 89% ya wachezaji wasiofaa kuitumia Simba ni wachezaji gani? Hawa waliofikisha Simba robo fainali ya Champions league?
Hawa walioifunga Yanga?
Hawa waliofika nusu fainali ya Azam Federation Cup?
Hawa walioiwezesha timu kuwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi kuu?
Wachezaji hawa waliofanikiwa kuiingiza Simba kwenye Top Ten ya viabu bora Afrika?
Hebu jifunzeni kuwa wanamichezo aisee, mnalalamika sana hadi mnatia aibu, Simba imejipatia mafanikio makubwa sana, kama una jicho hilo unapaswa kuwa umeliona. Punguzeni uswahili. Ipeni Club na wachezaji maua yao. Siyo msubiri miaka 20 ijayo ndiyo muanze kusema mliwahi kuwa kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika.
Na hizo hisa 49% wewe shabiki zinakuathiri nini?
Kuifunga yanga ni mafanikio ya kuandikaMambo mengine siyo wanajiandikia andikia tu. Hebu wewe Yericko Nyerere hebu ukuje utueleze hapa. Hao 89% ya wachezaji wasiofaa kuitumia Simba ni wachezaji gani? Hawa waliofikisha Simba robo fainali ya Champions league?
Hawa walioifunga Yanga?
Hawa waliofika nusu fainali ya Azam Federation Cup?
Hawa walioiwezesha timu kuwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi kuu?
Wachezaji hawa waliofanikiwa kuiingiza Simba kwenye Top Ten ya viabu bora Afrika?
Hebu jifunzeni kuwa wanamichezo aisee, mnalalamika sana hadi mnatia aibu, Simba imejipatia mafanikio makubwa sana, kama una jicho hilo unapaswa kuwa umeliona. Punguzeni uswahili. Ipeni Club na wachezaji maua yao. Siyo msubiri miaka 20 ijayo ndiyo muanze kusema mliwahi kuwa kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika.
Na hizo hisa 49% wewe shabiki zinakuathiri nini?
Mkuu kwa exchange rate ya sasa Dola elfu 50 inakaribia milioni 150Simba Haina uwezo wa kusajili mchezaji wa thamani ya milioni 150. Wachezaji wao wengi dola 50,000.
Ata ukichenji Leo tarehe 7/5/2023 Dola 50,000 haifiki milioni 120.Mkuu kwa exchange rate ya sasa Dola elfu 50 inakaribia milioni 150
Mkuu leo dola inauzwa 2400. Dollar elfu 50 ni 120M za TanzaniaAta ukichenji Leo tarehe 7/5/2023 Dola 50,000 haifiki milioni 120.