weka namba zako ili wanaomjua FRed wakupigie, na kama tayari unamjua ni familia ya askofu kuna kutafuta hapo? Huyo mama wa mtoto ndo anamtafuta baba watoto wake au mtoto wa 2009 leo hii 2013 (4 years) anamtafuta baba yake kwa kupatia majina yote ya baba na mama na walipokuwa wakikaa tabata?