mti wa ajabu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 449
- 368
Akha toto lote hilo,si ataufanya mwili wangu mazoezi maana nitashindwa ht kumchapa akikosea,sasa badala ya kumchapa yeye atakuwa ananichapa mimiYupo form idadi ya vidole kwenye avatar yako...
Unataka uwe mama ake wa kufikia?
Kama kweli vile[emoji23]Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,ila kumbuka mtt anauma bhana,mi nina watoto watatu wa mama tofauti najua damu inavouma
Hahahaaa husiliogope bhana baba ake nipo tutachapana sie usiku.Akha toto lote hilo,si ataufanya mwili wangu mazoezi maana nitashindwa ht kumchapa akikosea,sasa badala ya kumchapa yeye atakuwa ananichapa mimi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwani sio kweli? Maana nimecheka kwa sautiKama kweli vile[emoji23]
Now mwache huru kama atakavyo na kama mtoto utampata tu damu ya mtu haidhulumiwi ila najua mimba ndo itakua imepeleka yeye kutaka muachane so now tulia hadi pale atapokuhitaji yeye mwenyewe mimba zina mambo mengi sana kuwa mpole tu.Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,ila kumbuka mtt anauma bhana,mi nina watoto watatu wa mama tofauti najua damu inavouma
Ameshajua tabia yako kwamba wewe ni mtoa mbegu kama ulivyojibainisha mwenyewe hapa.Wadau habari zenu?
Nina msichana ambaye kwa bahati mbaya siku ya kwanza tu tumeonana nakumbuka alilala kwangu tulifanya mapenzi bila condom[emoji5] [emoji5] [emoji5]. Sasa huyo binti anadai ana mimba yangu ambayo sasa ni miezi minne.
Kilichonistaajabisha ni kwamba ananiambia tuachane na hataki habari za mapenzi na mimi na hadi kliniki kaenda peke yake. Sina amani najiuliza ni kweli mimba ni yangu?
Ameshajua tabia yako kwamba wewe ni mtoa mbegu kama ulivyojibainisha mwenyewe hapa
Kafyetue kwingine....Wadau habari zenu?
Nina msichana ambaye kwa bahati mbaya siku ya kwanza tu tumeonana nakumbuka alilala kwangu tulifanya mapenzi bila condom[emoji5] [emoji5] [emoji5]. Sasa huyo binti anadai ana mimba yangu ambayo sasa ni miezi minne.
Kilichonistaajabisha ni kwamba ananiambia tuachane na hataki habari za mapenzi na mimi na hadi kliniki kaenda peke yake. Sina amani najiuliza ni kweli mimba ni yangu?
Wadau habari zenu?

Duuuh hiyo callKama vipi mwambie akupe mimba "yako" uilee mwenyewe!!.
Umeshikishwa ww shtukaWadau habari zenu?