mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
- Thread starter
-
- #21
Sawa kabisaMkuu kimbia mbio nyingi Sana, huyo mwanamke Hana akili , mbeleni atakuja kukusumbua hata ww
Sent using Jamii Forums mobile app
ukimwi mbona mbali sana mkuu , anza na vita ya korona mana hiyo ni fasta tuVITA DHIDI YA UKIMWI NI NGUMU MNOOOOO AFU MKUU TURAHISISHIE UPATIKANAJI WA VIPIMO VYA DNA HALI NI MBAYA WATU WANALEA WATOTO SIO WAO
UharoWee jamaa bwana.. Sasa unashangaa kwa nini hataki umuoe wakati ulishasema huyo mume mtarajiwa ana ndalama😂😂😂😂😂😂
Wee mzee papuchi igonge tuu sii anaileta mwenyewe bwana na mimba mpe tuu.... Hapo utajihakikishia kupewa papuchi mkumbushie.
SimpendiHaya maswali uliyouliza mwishoni yanaonyesha kuwa somehow umeumizwa na huyo mwanamke kuolewa ila si ishu ya msingi.
Ishu ya msingi ni hii, upo tayari mwanao abebe jina la mwanaume mwingine? Utaweza kumwangalia akikua huku akijua ww si baba yake? Kama jibu ni ndio mpe mimba.
ANGALIZO: KAMA UNAMPENDA PINDUA MEZA, MAANA INAWEZEKANA.
Hana mume huyo anakufunga kiujanja uwe wake wa milele