kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 3,893
- 15,247
Unatupa pole na mvua wakati tuliomba zije unahitaji reformPoleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa.

Una umri gan?Shikamoni, habarini
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa.
Iko hivi, kuna jamaa yangu tumesoma nae alinipasia namba ya ex wake wa huko Moshi, huyu Binti ni fresher nikaona sio mbaya nikijuana nae niweke urafiki, niongeze idadi ya marafiki wa kichaga na story za hapa na pale.
Kwa story za jamaa, Binti ni social sana na nimeshuhudia Hilo, mrembo kama mmavojua watoto wa kichaga, shepu ipo, rangi nyeupe, lips Nene, vidole virefu etc
Nikamchekii Binti, nikajitambulisha mie nan, kozi yangu, mwaka wangu mwishon nikasema napenda tufahamiane, Binti akarespond vyema kote.
Basi, kuna siku nikamcheki normal sms nikampanga tuonane weekend tukatembee maeneo fulan hivi kuna hewa nzuri, she was curious to know that place, kuonesha kuwa siko desperate sana nikamwambia anicheki akihitaji twende huko, since hapo hakujibu sms zangu. IKUMBUKWE hapo hakuwa amesave namba yangu sababu mara kadhaa ukichat nae anaonesha kama ni stranger kwake, May be anaclear na chats zetu.
Baada ya kuona kimya kwa siku kadhaa, nislpomtafuta hanitafuti nikaona sio case sikuwa namtaka awe mpenzi wangu but kama rafiki cha kufia nn?? NIKAKUMBUKA UZI WA Da'Vinci ... Ulishawahi lazimisha mapenzi, urafiki ... Nikaona isiwe kesi FUTA NAMBA, CLEAR CHATS maisha yakasonga.
Sasa kilichonifanya niwape hii soga, Leo Niko mishe mishe kuna namba ngeni tatu zimenicheki, nilivo settle ikabidi nianze pigia Moja baada ya nyingine. Nikapiga namba ya kwanza tukaongea na kumalizana ,huyu ni ndugu yangu alinitafuta kwa namba ngeni.
Hizo namba mbili nikipiga Moja inatumika, nyingine inaita haipokelewi, baada ya muda ikapokelewa .... Inasikika sauti ya mdada ambaye hayuko akilin mwangu nikajaribu kuuliza jina hakutaka nambiaa nikaona sio kesi akakiri kakosea namba, tukaagana.
Ikabidi nisevu namba kwa majina ya "ngeni" na "ngenii" chapu, nikaenda Whatsapp na uzuri zote ziko Whatsapp, Moja Iko online ingine inaonesha last seen ya muda nikagundua huyu mtumiaji wa FM Whatsapp. Kati ya zile account mbili za Whatsapp Moja kumbe ni ya huyo Binti ,nliigundua dp yake na sura yake, ikabidi nimpigie sasa.
Nimempigia nikakuta anaongea kama yule dada aliyesema awali kakosea namba, NIKAMUULIZA kama ndio yeye akagoma lakini mwishoni akaja kubali akisema ni namba yake ya voda, basi tumepiga story anataka tuonane nikamtembeze huko nilikosema.
TATIZO, Kati ya zile account 2 zake za Whatsapp Moja kaweka DP inayosema ... BIRTHDAY LOADING.... . SASA nahofia asije akawa anajilengesha kwangu na zile kesho birthday yangu naomba zawadi na ISSUE SIO zawadi Kwann anitafute siku yake ya tukio wakati siku zingine alinichunia Hadi nikafuta namba na kumsahau AU NI MIE TU NIME overthink mtoto anataka anikaribishe kwa birthday yake
I need discernment skill on this
Nilikudirect uje usome hii nyuzi, wenzako wako Jamii intelligence we unakaa huku wafanya nn kama sio walewaleHaya sasa umetueleza tufanye nini sisi?
sio kila mtu anafurahia mvua Bro, sie machinga Hali ni ngumu hukuUnatupa pole na mvua wakati tuliomba zije unahitaji reform
Gift sio shida vp akidemand beyond nachoweza mpaUna umri gan?
Haya sawa ukitoa hiyo birthday gift utapungukiwa nn?
Si umesema rafiki yako au
Nikweli mkuuuWajibika mzee. Usiogope. Huenda garama ya BDY ni ya kawaida tuu. Afu end of the day ukaopoa mwali
Sijasema nataka nimtafune kaka, afu hizi mambo hazinaga makomboIla jamaa yangu hauna kinyaa, yaani Ex wa rafiki yako, bora utafune demu ambaye hata haumfahamu Ex wake
Yawezekana lakin Sina uhakika saaaaanaKifupi una mtaka huyo binti.
Hahahaha, 𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐤𝐮𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚Sijasema nataka nimtafune kaka, afu hizi mambo hazinaga makombo
poaa kakaHahahaha, 𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐤𝐮𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚
Unaingia ktk vita mikono umeweka nyumaGift sio shida vp akidemand beyond nachoweza mpa
So inspiringInaonekana ww ni mwanafunzi na huna pesa....tafuta pesa mdogo wangu ..uhakika huyo demu hamalizi hata 50k kwa mtoko mmoja
Unamaana gan kakaUnaingia ktk vita mikono umeweka nyuma
ulipost ya nini?Nilikudirect uje usome hii nyuzi, wenzako wako Jamii intelligence we unakaa huku wafanya nn kama sio walewale
Hiyo ndo akili sasa, birthday loading! Jiandae kuwa used!Shikamoni, habarini
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa.
Iko hivi, kuna jamaa yangu tumesoma nae alinipasia namba ya ex wake wa huko Moshi, huyu Binti ni fresher nikaona sio mbaya nikijuana nae niweke urafiki, niongeze idadi ya marafiki wa kichaga na story za hapa na pale.
Kwa story za jamaa, Binti ni social sana na nimeshuhudia Hilo, mrembo kama mmavojua watoto wa kichaga, shepu ipo, rangi nyeupe, lips Nene, vidole virefu etc
Nikamchekii Binti, nikajitambulisha mie nan, kozi yangu, mwaka wangu mwishon nikasema napenda tufahamiane, Binti akarespond vyema kote.
Basi, kuna siku nikamcheki normal sms nikampanga tuonane weekend tukatembee maeneo fulan hivi kuna hewa nzuri, she was curious to know that place, kuonesha kuwa siko desperate sana nikamwambia anicheki akihitaji twende huko, since hapo hakujibu sms zangu. IKUMBUKWE hapo hakuwa amesave namba yangu sababu mara kadhaa ukichat nae anaonesha kama ni stranger kwake, May be anaclear na chats zetu.
Baada ya kuona kimya kwa siku kadhaa, nislpomtafuta hanitafuti nikaona sio case sikuwa namtaka awe mpenzi wangu but kama rafiki cha kufia nn?? NIKAKUMBUKA UZI WA Da'Vinci ... Ulishawahi lazimisha mapenzi, urafiki ... Nikaona isiwe kesi FUTA NAMBA, CLEAR CHATS maisha yakasonga.
Sasa kilichonifanya niwape hii soga, Leo Niko mishe mishe kuna namba ngeni tatu zimenicheki, nilivo settle ikabidi nianze pigia Moja baada ya nyingine. Nikapiga namba ya kwanza tukaongea na kumalizana ,huyu ni ndugu yangu alinitafuta kwa namba ngeni.
Hizo namba mbili nikipiga Moja inatumika, nyingine inaita haipokelewi, baada ya muda ikapokelewa .... Inasikika sauti ya mdada ambaye hayuko akilin mwangu nikajaribu kuuliza jina hakutaka nambiaa nikaona sio kesi akakiri kakosea namba, tukaagana.
Ikabidi nisevu namba kwa majina ya "ngeni" na "ngenii" chapu, nikaenda Whatsapp na uzuri zote ziko Whatsapp, Moja Iko online ingine inaonesha last seen ya muda nikagundua huyu mtumiaji wa FM Whatsapp. Kati ya zile account mbili za Whatsapp Moja kumbe ni ya huyo Binti ,nliigundua dp yake na sura yake, ikabidi nimpigie sasa.
Nimempigia nikakuta anaongea kama yule dada aliyesema awali kakosea namba, NIKAMUULIZA kama ndio yeye akagoma lakini mwishoni akaja kubali akisema ni namba yake ya voda, basi tumepiga story anataka tuonane nikamtembeze huko nilikosema.
TATIZO, Kati ya zile account 2 zake za Whatsapp Moja kaweka DP inayosema ... BIRTHDAY LOADING.... . SASA nahofia asije akawa anajilengesha kwangu na zile kesho birthday yangu naomba zawadi na ISSUE SIO zawadi Kwann anitafute siku yake ya tukio wakati siku zingine alinichunia Hadi nikafuta namba na kumsahau AU NI MIE TU NIME overthink mtoto anataka anikaribishe kwa birthday yake
I need discernment skill on this
Nlikubquote uje hapa uchangie???ulipost ya nini?