Ana maana gani huyu Binti?

Ana maana gani huyu Binti?

Shikamoni, habarini !
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa.
Kipindi hiki cha sikukuu na mambo ya mwaka mpya, ukiweka na birthday yake na mtoto ni wa kichaga pesa mbele kama miwani ya profesa lazima utavuka mwaka kwa mbinde sanaa. Kuwa makini usije pigwa na kitu kizito kichwani
 
Thanks , note taken
 
Back
Top Bottom