ana hasira za kuogopesha

Hivi wakati unaifukunyua hii sredi, uliangalia muda iliyowekwa hapa jamvini?

Jlm ushauri wa ujengelele ni wa kipumbavu na nadhani kama ni mwanamke hataweza kuolewa na kama ataolewa hatokaa kwenye ndoa kabisa. Ukweli ni kwamba unamakosa makubwa sana tena sana. Wenzako makini kama ulikuwa na bf na ukaachana naye na ukajua ni msumbufu badilisha namba za simu. Huyu wa sasa ndiye dume lako shikiria sana hata kukuomba msamaha amefanya kosa we ndo ulitakiwa umuombe msamaha but kwa kuwa anakupenda hakuwa na jinsi. Mshikilie huyo man dada yangu
 
mwanamke kupigwa ni kawaida tatizo wewe uko very soft, yaani kibao kimoja tu hospital? Wenzio wanapokea kipigo cha mbwa mwizi huku akiendelea kurusha matusi. Msamehe hakutegemea utazimia kwa kijibao kimoja tu.
 
Mwambie wazi bila kuogopa kwamba mapenzi ya kupigwa pigwa wewe huyapendi wala huyataki kabisa. Akikupiga tena ndiyo utakuwa mwisho wenu na utaenda kumshtaki polisi kwa kukupiga na huyo daktari ambaye aliomba samahani mbele yako atakuwa shahidi wako.
Kwa hiyo aendelee kuwasiliana na kutongaza na mpenzi wake wa zamani siyo! -------- mkubwa wewe!
 
Back
Top Bottom