Ana hasira, STD Seven, nipo njia panda!

Nimesoma juu juu but the basic principle ni kwamba, oa mwanamke ambaye anakunyegesha... Yule ambaye hata kama umerudi nyumbani umechoka bado anakupa hamasa... Sio yule dizaini mpaka uvute stim kwa mbaali...
Of course kuna changmamoto kwa kila mwanamke. Mwanamke msomi ana changamoto zake na mwanamke asiye msomi pia ana changamoto zake...
 
Kwa kweli ktk kuwafahamu wanawake niligundua kuwa ni ngumu sana kumpata mwanamke mwenye sifa na vigezo vyote unavyovitaka wew ...
Mfano,unaweza ukampata msomi ila akawa na dharau,anamaisha ya wadada wa mjini daslamu yaan n full kuwaza bata tu na kujipodoa,pia anaweza akawa amesomea kazi ambazo sio vipaumbele sana kwa mke kuzifanya kaz hzo kutokana na ubize,mfano labda n nesi,daktari,Polisi au hata mwanajeshi...na ukimpata ambae amesoma na anajiheshimu waweza kukuta ana sura isiyokuvutia kabisa yaan huna feelings nae...
Mwingine unapata kama huyo wako tatzo linakuja kwwnye shule,unakuta elimu hana naww unataka awe na elimu walau kidogo ,ajue hata kiingereza cha kuombea maji,hahahaaaa...
Kiukweli ukipata mwanamke mwenye at least nusu ya vigezo ulivyojiwekea bhc huyo anafaa kuwa mke wa kuoa labda awe ana zile tabia ambazo hata kama n tabia moja ila n ya hatari sana ,mfano n mchawi,mlevi n.k.....ila hayo mapungufu n ya kawaida sana ..hata wew hauna sifa zote za mwanaume amtakaye ila ameona mapungufu yako na hana budi kukufichia mapungufu yako maana tyr kashakupenda.....
 
Kumbe na nyie hamjielewagi mnatafuta nn..haya nenda katafute slay queen wanaojua english na wamesoma
 
Tafuta mcharuko mwenzio, huyo hakuwezi maana kama unataka kuoa kiingereza mtafute yule alikuwaga supika wa libunge!! Yuko singo kama sikosei
Huyu anataka mcharuko na wale wa english ya kuigiza
 
thanks mkuu kwa nasaha zako
 
mkuu thanks kwa ushauri....umeongea kwa hisia sana
 
thanks kwa neno mkuu
 
Mkuu kwa ulivyomwelezea hapa hauna budi kumwoa binti wa watu.

Hakuna mwanamke aliyekamilika kila kitu, kuna mambo mengi sana tunachukuliana.
 
Kipimo cha mwanamke wa kuoa sio elimu, amini nikwambia tena elimu ndo imewafanya wawe vilaza kabisaaaa..kuhusu hasira huyo ana bad past experiences unaweza mtibu km kweli ukimpenda tok moyoni.....mi nadhani huyo anafaa madhaifu yake ni afadhali...nimedate wasomi wengi ila sijawahi kuona tofauti ya mwanamke aliyesoma na asiyesoma kama nimeziona basi ni ujinga wa baadhi ya wanawake waliosoma. Sa nyingine mpk naaminigi babu zetu kama walipatia kuwanyima elimu [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hakuna aliekamilika kaka, ukisema umuache utamkuta mwingine ndio mapungufu zaidi ya huyo, ukaanza kujijutia tn.
 
Kizuri hakikosi kasoro. Bora huyo ana hasira tu, wengine wanalia na kusaga meno wamekutana na wenye roho mbaya. Kujua lugha ya Kingereza mpeleke kwa Rasi Simba, week tu anakuwa kama kazaliwa London.
Huyu Ras yuko overrated ila anajitahidi kiasi,ushuhuda upo,British Council panafaa sana kwa anaenuia kujua kiingereza fasaha.
 
nashukuru kwa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…