Jamani Watanzania mbona mmeshikilia hoja ambayo haipo. mimi kaka yangu anafanya kazi pale ubalozini...........
hii tarifa imenisikitisha sana kwakweli plz niambie si kweli!mimi binafsi nimefurahishwa sana na kitendo cha wizara ya mambo ya nje ya tanzania kupeleka timu ya wabunge kudai chenji yetu iliyoibwa na bae system katika uninuzi wa radar. Taarifa nilizozisikia london ni kwamba bae wamekubali kupitisha pesa hizo serikalini baada ya kubanwa na deputy spika job ndugai. Nasikia kamati ya bunge ya masabu ya serikali ya uingereza inatarajiwa kuihoji bae kuhusu suala hili.
Kilichonifurahisha zaidi ni kitendo cha wabunge wote kuiunga serikali baada ya waziri membe kutoa hoja bungeni. Hata walioandika barua bae wajue kwamba hoja zao ni dhaifu na zimeshindwa.thanks
Jamani hii hela siyo refund, siyo compensation, siyo restitution wala siyo reparation. Siyo HAKI yetu kuipata. BAE walipokubali makosa hawakukubali makosa ya kuturusha au ufisadi au rushwa! Walikubali makosa ya kihasibu tu yanahusiana na utunzaji wa kumbukumbu. Na hata makubaliano ya kutoa fedha hayakutolewa na mahakamani makubaliano tu kati ya BAE na SFO. Hivyo fedha hizo kweli kabisa zinatoka katika wema wa BAE ili wasichunguzwe zaidi. Tanzania kama inataka fedha "zake" iwashtaki wahusika, itaifishe mali za Vithlani na kupiga marufu makampuni yake kufanya kazi tena. Wauze ofisi zake n.k
Inashangaa mtu kakimbia tunashindwa kumshtaki in absentia?
June 24th, 2011
BAE Systems will show itself as a friend to the Tanzanian people by returning all the money due to the Tanzanian people directly by supporting projects that will improve their lives by raising their living standard without subjecting the funds to unneeded and sometime cumbersome bureaucracy of the government institutions and hungry politicians.
We the undersigned as Citizens of United Republic of Tanzania we ask you to consider.
Jamani Watanzania mbona mmeshikilia hoja ambayo haipo. mimi kaka yangu anafanya kazi pale ubalozini.
BAE wamekubali kupitisha pesa kwenye serikali. Sasa kama mnaandika barua andikeni tu kwa ajili ya kujifurahisha. Yaani Jobu Ndugai ni mwanadiplomasia sana maana mazungumzo hayo mpaka wamesalimu amri.t
Nyie na NGOs zenu huko East London endeleeni na barua za kunywa kahawa na kujifurahisha nafsi zenu. Membe nilikuwa sijui uwezo wake lakini nimemjua kwa sababu ya suala hili. Maana hata Bungeni si cha Chadema au UDP wote wako na kauli moja. Nawapongeza sana Chadema, CUF CCM na vyama vingine maana kweli wameonyesha uzalendo wa kweli.
Kweli Job Ndugai ni mwanadiplomasia saana, ha, ha, haaa, Hebu bonyeza hapa !
[video]http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/06/110624_tz_rada_uingereza.shtml[/video]
mwanadiplomasia my foot !
Hapo kwenye Red Haitawezekana sababu aliyekuwa Waziri mhusika pindi zile kwa sasa yupo juu ya sheria.. Sahau kabisa kumsikia Membe akizungumzia hayo kibarua kitaota mbawa!Membe angelikuwa kweli na uchungu na kulitunza jina nzuri iliyokuwa nalo nchi yetu katika enzi za Mwalimu, angeliishauri kwanza serikali ya Tanzania kuwachukulia hatua wale wote walioshirikiana na BAE system kutuibia, baada ya hapo ndipo atakapokuwa na uhalali wa kupiga kelele anazopiga. Ikumbukwa bila ya kuwachukulia hatua watanzania waliohusika na njama hizi, serikali nzima ya Tanzania inaonekana machoni mwa jumuia ya kimataifa kuwa mshirika mkuu katika wizi huo.
Mkuu wa kaya nae alikuwa ni mmoja wao wanaogopa asije mwaga mbogaJamani hii hela siyo refund, siyo compensation, siyo restitution wala siyo reparation. Siyo HAKI yetu kuipata. BAE walipokubali makosa hawakukubali makosa ya kuturusha au ufisadi au rushwa! Walikubali makosa ya kihasibu tu yanahusiana na utunzaji wa kumbukumbu. Na hata makubaliano ya kutoa fedha hayakutolewa na mahakamani makubaliano tu kati ya BAE na SFO. Hivyo fedha hizo kweli kabisa zinatoka katika wema wa BAE ili wasichunguzwe zaidi. Tanzania kama inataka fedha "zake" iwashtaki wahusika, itaifishe mali za Vithlani na kupiga marufu makampuni yake kufanya kazi tena. Wauze ofisi zake n.k
Inashangaa mtu kakimbia tunashindwa kumshtaki in absentia?
Kweli Job Ndugai ni mwanadiplomasia saana, ha, ha, haaa, Hebu bonyeza hapa !
[video]http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/06/110624_tz_rada_uingereza.shtml[/video]
mwanadiplomasia my foot !
Naandika hapa kwa uchungu mkubwa kwamba hii pesa ikirudi italiwa na wale wale walioenda kuidai ambao wanajiita bipartisan group. It's a double deep strategy ndugu zanguni, wamekula yakwanza iliyoenda UK watakula yapili inayorudi Tanzania. Wamedhamili kutua masikini ndugu zanguni, hawa watu hawana huruma wala hutu. Ndugu yangu Mtanzania we fought the good fight to battle this kuanzia mwanzo. We can not quit now, we can not quit tomorrow or the day after, we need to continue fighting this uphill battle. Tuma email as many times as possible, someone somewhere will read it.
Mungu ibariki Tanzania.
you know these people sometimes they act as if they live in a parallel universe - kwenye issue ya malipo ya Dowans wakaanza "tuwalipe" walipoona wimbi limegeuka na wao wakageuka... kwenye hili sijaelewa kabisa kwanini wametumia nguvu kubwa hivi? Hawakutumia nguvu hii kudai ujenzi wa barabara kwenye Mbuga ya serengeti? Hawakutumia nguvu hiyo kubwa kwenye EPA...fedha nyingine nyingi zaidi kuliko hizi hazijatumiwa ujumbe wa Bunge... why hili?