An interesting way to resolve fights

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
Mkuu samahani nilikimbia umande yaani ni shule sasa hapo ni huyo mswahili ni basha na huyo mdosi ndio punga au vipi na tena muwe mnatoa mandiko ya kitaifa kwa sababu wazee wetu ni duni shule za kimombo ni za viongozi na watoto wao basi
 
Hilo lisaa lingeambatana na kuangaliana usoni ingekuwa bora zaidi, kushikana mikono pekee haitoshi, lkn nimeipenda.
 
Mkuu samahani nilikimbia umande yaani ni shule sasa hapo ni huyo mswahili ni basha na huyo mdosi ndio punga au vipi na tena muwe mnatoa mandiko ya kitaifa kwa sababu wazee wetu ni duni shule za kimombo ni za viongozi na watoto wao basi

english it need heart
 
Sasa mbona wanaona aibu, kushikana mikono....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…