waache wajenge tu, kuna siku hayo majengo yatakuja kubadilishwa rangi, pale chama litakapokufa na watu wote kuhama. litataifishwa na chadema. rangi za chadema zitakuwa hapo, au yataachwa kuwa makumbusho ya kitaifa kumbukumbu ya vizazi vijavyo kukumbuka namna tulivyokuwa tumetawaliwa na kuibiwa kwa mda mrefu. litakuwa somo zuri kwa watoto wetu bila shaka.