Amuua mtoto wake kwa risasi akidhani ngedere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amuua mtoto wake kwa risasi akidhani ngedere

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Jan 10, 2009.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mkazi mmoja wilayani Mpanda mkoani Rukwa anashikiliwa na polisi kwa kosa la mauaji baada ya kumuua mtoto wake kwa kumpiga risasi akidhani ni ngedere wakati akilinda shamba lake la mahindi.
   
Loading...