Mango juice
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 345
- 469
MKE mwamshe mmeo kimahaba kama amelala mgongo juu basi mpande mgongoni taratibu uku ukimpalaza mgongo na chuchu zako au kama amelala upande wa tumbo juu basi taratibu unamwekea chuchu zako mdomoni kwa maneno laini ukimtomasa mashavu kwa mikono na mabusu moto ya midomo
MKE mwamshe Mme kwa penzi mwambie bebi amka kama haki yako ya ndoa upate kisha ukaoge jamani utoe uchovu uje ule chakula tena kulishana au awahi kazini
Mme pia unaweza mwamsha MKE ata kumshikisha mwiko wako mkono wake wa kushoto au kumpa ulimi taratibu uku wamtazama usoni na mabusu moto au kumnyanyua kichwa MKE na kumweka kifuani kwako vile kupeana raha
Wanandoa mwenzio akionesha thamani nawe onyesha thamani kwake kwani penzi tamu likiwa la kujali hisia uku katika tendo kila mmoja anafurahi sio tendo uku mnafumba macho
Wanandoa marufuku kuamshana kama ugomvi Mara umevuta shuka, Mara umevuta mguu kama unamwamsha mwanafunzi wa shule ilo sio penzi ubabe
Vile kutomasana kimahaba kwa jicho la huba mbona raha tena muda wote mnakuwa wepesi ya halali nyumbani kunanoga
HAKIKA NAMUENZI KWENGINE HAENDI