dunia inawashangaa jinsi ccm na wafuasi wao wanavyojitekenya na kujichekesha.
"tumeanza kuwashughulikia mafisadi, wakati anayetangaza nae ni top kwenye hiyo list"
"mafisadi wameanza kukimbia CCM, wakati karibu robo tatu ya mafisadi waliotokea ktk orodha ya aibu watakuwa wakishika maiki kuipigia chapuo CCM na ili aingie ikulu jpili"
Kashfa kubwa ya kifisadi ya RICHMOND aliyobebeshwa LOWASSA imebaki CCM na CCM wanaendelea kuilipa hiyo kampuni , huku wakulaumu kuwa ni ya kifisadi.