englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
sasa haya ni mauza uza gani umeyaweka hapa?
hata kama unasema umekuwa lakini amri za wakubwa bado haujaziweza
na ndo maana mimisa akakutema kweupee
baba yako Bishanga ndo amekuharibu wala siyo makosa yako sana
wakulaumiwa yeye aliyekufundisha kwenda kwenye kumbi za starehe ukiwa bado mdogo.