Amri kumi za Mafia

Inaelekea una uelewa wa kutosha juu ya vikundi hivi.Hivi James Hadley Chase aliwahi kuandika novel au kitabu chochote juu ya mafia?
 
FISIEM vp cyo Mafia?
Ukifikiria baadhi ya matendo yao,mfano kukimbia na sanduku la kura,kumwagia Watu tindikali,kuamuru afisa anayepokea fomu za mgombea kujificha mpaka muda wa kupokea unapita,kupiga mabomu kwenye mkutano wa siasa nk unaishia kuconclude kuwa hawa wanafanya organized crimes. Wanaweza kutekeleza haya kupitia idara nyingine na wao mikono yao inabaki 'safi'.
 
Njoo tutengeneze kikund cha kimafia mkuu ... Mi niwe bosi. .
 
Inaelekea una uelewa wa kutosha juu ya vikundi hivi.Hivi James Hadley Chase aliwahi kuandika novel au kitabu chochote juu ya mafia?
Ninao mkuu "in real life" sio kwa kusoma kwenye vitabu..hapa Tanzania wako hawa wanaoitwa wauza Dawa za kulevya,hawa jamaa serikali imeweza kuwanyanyasa kwasababu hawako "Organise" kama wangelikuwa Organised,..moto ungeliwaka...

Hawa jamaa wauza dawa za kulevya kila mtu anafanya kazi kivyake,Mkuu hulka ya Wafrika hatuwezi kujiorganise na ndio maana tuna feli kwa kila kitu,kuanzia kwenye Serikali mpaka kwenye Uhalifu...😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…