Amri kumi za Mafia

Mkuu weka attachment ya hzo files au picha ya iyo nyaraka yenye amri hzo
 
Kwanini Tanzania hakuna organized crimes?
Watanzania hawawezi kujiorganize,watanzania wana hulka ya kuongea sana,Watanzania bado hawajapata shida ya maisha,watanzania hawawezi kuwekeana sheria ngumu katika maisha yao,watanzania wako rege rege...wako woga sana,..
 
Kwa hiyo bado vipodoz au hata panya road wanaweza kuwa mafia
 


Mi napenda kuishi kule kwani kuna mambo mengi ya kuvutia ya kitalii.Uliwahi fika huko Mkuu, utakula samaki mpaka utatapika.
 
Kwa hiyo bado vipodoz au hata panya road wanaweza kuwa mafia
Panya Road wanaweza kuwa Mafia wazuri sana lakini naona hakuna mtu wa kuwa Organize,kunatakiwa aweko kiongozi anaewaongoza,kuwepo na mchango wa kiasi fulani cha pesa kwa kila mwanachama analipia kikundi kwa kila uhalifu anaofanya...

Mfano tuseme mmoja wa mwanachama wa "Panya Road" amefanikiwa na kupora milioni moja kutoka kwa Fala fulani,huyo mwanachama anatakiwa alipe pasenti fulaya ya alichochuma kwa Kikundi,

kwa njia hiyo kikundi kunakuwa tajiri na kuweza kufika wakati kikawa na makampuni na mawakili wake,nk,tetesi zinasema kuwa Mafia ndio waliomuua Raisi wa Marekani John F Kennedy

Marekani kuna "Mafia" kama wahalifu waliojipanga "Organized Crime",Japan Kuna "Yakuza",..hivi vikundi ni matajiri sana wana makampuni yao nk,lakini mambo mengi ya makampuni yao yanapatika kihalifu,wanamiliki vitu kama Casinos,Disco teque,na sehemu nyingi za starehe
 
Mzee hayo unayoandika ni kama unataka kuosheana kuwa unajua kuhusu mafia. Mi naelewa system,operation,ranks etc za hao majamaa since way back labda kama unamuambia mleta mada..
Na inategemea unaongelea mafia gani, American Italian Mafia is practically dead,only the italian mafia,the sicilian mafia,the cosanostra and ndranghetta ndio wanatry hard to survive.
My point is;hii post imeletwa kana kwamba kuna madocuments ya izo ten commandments wakati hiyo kakutwa nayo tu huyo mafioso alokamatwa in 2007. The thing is ukishaswear allegiance kwenye iyo initiation event,kuna undocumented code of conduct unatakiwa kucomply with.
 
I cant believe this,mzee ujanielewa tu wewe,nnachosema hamna documented mafia laws,contracts,constitutions,regulations, etc.
Yani ulidhani sijui kuhusu how mafia works,mzee humu nlishatakaga hadi kuandika a very huge post but niliweka thred moja nikajua watu hawajui nikaacha wayback.

Kwa msaada tu walio interested this is the organizational structure of Mafia.
1. Capo di tutto capi (the "Boss of All Bosses")
2. Capo di Capi Re (a title of respect given to a senior or retired member, equivalent to being a member emeritus, literally, "King Boss of Bosses")
3. Capo Crimine ("Crime Boss", known as a Don - the head of a crime family)
4. Capo Bastone ("Club Head", known as the "Underboss" is second in command to the Capo Crimine)
5. Consigliere(an advisor)6. Caporegime("Regime head", a captain who commands a "crew" of around twenty or more Sgarriste or "soldiers")
7. Sgarrista or Soldato ("Soldier", made members of the Mafia who serve primarily as foot soldiers)
8. Picciotto ("Little man", a low ranking member who serves as an "enforcer")
9. Giovane D'Onore (an associate member, usually someone not of Italian ancestry)

Italian Mafia structure Capofamiglia -
Capofamiglia - (Don/Boss)
Consigliere - (Counselor/Advisor/Right-hand man)
Sotto Capo - (Underboss/Second-in-command)
Capodecina - (Captain/Capo)
Uomini D'onore - ("Men of Honor"/Made men/Soldiers)
 
hahahaha Mkuu,....."Organise crime" zote kuna "rules and law" za kujiunga katika hivyo vikundi,kuna rules and law" za kupanda cheo,vikundi vyengine cheo unapandishwa kutokana na watu wangapi umeuwa...nk,unafikiri unaweza kufikia cheo kama "Consigliere" bila ya kufanya kitendo cha kuthibitiisha kuwa wewe unaweza kuwa na cheo hicho..,.....tafakari..
 
Kwani kisiwa cha mafia kina uongozi wa juu tofauti wenye hizo Amri? I πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa mzee naona hatuelewani kabisa,lets leave it here!!
 
Ukweli mwanadamu anamawazo yasiyofaa hivi kweli badala ya kuleta mada ya maana inayoweza kutusaidia unaamua kuleta jambo ambalo halina manufaa kabisa
 
Kwa lugha la kabila la WAJITA kule mkoani Mara, "Mafia" maana yake ni "m.ap.umbu"
Pia "RUNGWE" maana yake ni "ny.e.ge"
 
Hiyo Na. 1, mtu wa tatu ambaye ndiye anawaunganisha mamafia, yeye sio mafia? Mbona yeye anakutana na mafia wenzake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…