Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi
KUMBUKA……Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba…kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.
Umeona eeeh.++
Da! Kumbe biashara ya utumwa ipo ila ki-digitali zaidi!
++
Yaani nimecheka kweli , sasa kama anakuboa itakuaje walahiHahah, kweli bure aghali.
Yaani l should laugh at all ur silly jokes.
Hahahah, nitoe basi zis wikend.
Inafaa anapopesti si unajua wengine tuko bondeni sana redio one hatuipati tunapata RTD tu ukizingatia radio yenyewe mkulima na betri za kuanika kwanza. Kumbe ilikua radio one basi wengi wamejifunzaMwisho utaolewa bure.
Dume ni kugangamala UPAMBE ni mbaya
Na mm nimeiskia leo asubuhi Radio One kwa D. Rweyunga kwa hiyo tusiwe tuna-copy na Ku-Paste
Kweli zikimpanda na mko Bar na mkeo anaweza kukuchagua badala ya mkeo sijui utakataa
Yaani nimecheka kweli , sasa kama anakuboa itakuaje walahi
Hapo kwenye red lolSi nataka ofa bwana, hata akianza kujichooakon pua na midole namsifia tu.
Yaani nimekumbuka kuna sehemu moja nilifanya kazi, ilikuwa ukimsifia muhasibu vitu vyake alivyotoka navyo States (ilikuwa mara yake ya kwanza) basi hata ukimdanganya ukucha unauma, si ruhusa tu ya kwenda town atakupa lkn na imprest nene tu iso na retirement. Chezea kusifiwa weye!
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi
KUMBUKA Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.