Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,533 Reaction score 81,262 Apr 15, 2021 #21 Sio mpira wa bongo tu. Kiemba ni mtu makini sana ana hoja nzuri na anaujua a na hana ushabiki kama wachambuzi wengine wakibongo. Siku nikifungulia cluds sports extra kama Kiemba hayupo basi sisikilizi.
Sio mpira wa bongo tu. Kiemba ni mtu makini sana ana hoja nzuri na anaujua a na hana ushabiki kama wachambuzi wengine wakibongo. Siku nikifungulia cluds sports extra kama Kiemba hayupo basi sisikilizi.
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,323 Aug 23, 2021 #22 Yupo vizuri sana
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Aug 23, 2021 #23 anajitahid sana lkn wachambuz tz saiv wamegeuza vipind vya michezo sehem ya kuchambana na umbea
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,628 Reaction score 19,810 Aug 23, 2021 #24 Hziyech22 said: Jamaa havutii kwenye kuongea Click to expand... Mada inahusu uchambuzi sio namna mtu anavoongea
Hziyech22 said: Jamaa havutii kwenye kuongea Click to expand... Mada inahusu uchambuzi sio namna mtu anavoongea
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,029 Reaction score 23,695 Aug 24, 2021 #25 BUSH BIN LADEN said: Mada inahusu uchambuzi sio namna mtu anavoongea Click to expand... Uchambuzi unaendana na uongeaji mzee
BUSH BIN LADEN said: Mada inahusu uchambuzi sio namna mtu anavoongea Click to expand... Uchambuzi unaendana na uongeaji mzee
P pakao JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 381 Reaction score 533 Aug 24, 2021 #26 Unaonekana unavutiwa sana na mbwembwe sio content mkuu,Kiemba yuko vizuri sana Hziyech22 said: Uchambuzi unaendana na uongeaji mzee Click to expand...
Unaonekana unavutiwa sana na mbwembwe sio content mkuu,Kiemba yuko vizuri sana Hziyech22 said: Uchambuzi unaendana na uongeaji mzee Click to expand...
LaRosa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2020 Posts 901 Reaction score 2,888 Aug 24, 2021 #27 Kiemba anajua Namna ya kutumia maneno sahihi kwa wakati sahihi.
Jr king Member Joined Nov 4, 2019 Posts 50 Reaction score 55 Aug 24, 2021 #28 Nyoko zako we mukuu 123, Geoge Ambangile hapa bongo hana wa kufananishwa.....
Mr Copy Member Joined Apr 7, 2021 Posts 16 Reaction score 5 Aug 24, 2021 #29 Jr king said: Nyoko zako we mukuu 123, Geoge Ambangile hapa bongo hana wa kufananishwa..... Click to expand... Poleee sana hajafikia kiwango icho ila nimzur
Jr king said: Nyoko zako we mukuu 123, Geoge Ambangile hapa bongo hana wa kufananishwa..... Click to expand... Poleee sana hajafikia kiwango icho ila nimzur
I LOVE GIRLS JF-Expert Member Joined Nov 17, 2020 Posts 857 Reaction score 1,323 Aug 24, 2021 #30 mtena said: Mm ni mshabiki wake mkubwa Ila kila kikifika kipindi cha sports bar unakuta nimelewa so Nahisi anaongea kichina Zaidi kumbe ni kiswahili Click to expand... khaaa
mtena said: Mm ni mshabiki wake mkubwa Ila kila kikifika kipindi cha sports bar unakuta nimelewa so Nahisi anaongea kichina Zaidi kumbe ni kiswahili Click to expand... khaaa
Davey15 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 213 Reaction score 230 Aug 24, 2021 #31 Mukuu123 said: Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya Bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile. Click to expand... sawa kiemba tumekusikia
Mukuu123 said: Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya Bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile. Click to expand... sawa kiemba tumekusikia
prof Mose Member Joined May 10, 2019 Posts 37 Reaction score 29 Aug 24, 2021 #32 Of course yupo vizuri sana na anachambua kwa fact, shidahavutii kumsikiliza
L Lizzyl New Member Joined Apr 21, 2021 Posts 3 Reaction score 1 Sep 5, 2021 #33 prof Mose said: Of course yupo vizuri sana na anachambua kwa fact, shidahavutii kumsikiliza Click to expand... Prof nimekutext inbox kuna vitu nimekuuliza naomb ukanijibu tafadhal
prof Mose said: Of course yupo vizuri sana na anachambua kwa fact, shidahavutii kumsikiliza Click to expand... Prof nimekutext inbox kuna vitu nimekuuliza naomb ukanijibu tafadhal