Amri juu ninawapa mmpendane

Afadhali sasa ushajua. Epuka wine kabla hujaanzisha thread. Hasa zinazosisitiza upendo
Ni upendo unasababisha Mbowe kuwa Segerea na nikiavyo anaweza kuwa kule mpaka uchaguzi wa serikali za mitaa upite.
 
Hii dunia imejaa vituko tushangae ya SA ya kufufuliwa wafu huku tushangae ya risasi kupinda kona kutafuta mlengwa ikaishia kutoa uhai innocent person. Tutaingizwa kwa Guinness Book muda si mrefu

Nitajizatiti na zile anazotishiaga Mheshimiwa wa Kigoma nitageuka bahari. 2020 akina Sangoma watatajirika hatari

Hakuna kama Mama, Baba wa kufananishwa na JIWE
 
Na polisi aliyefyatua risasi hana hatia lakini aliyekuwepo eneo la tukio yuko mahabusu. Yote ni katika upendo wa bwana.
 
Shukran mkuu lakini sikujua kuwa kuna survey ya warekebisha headings πŸ˜‚

Hapana siyo survey kabisa na si kwa ubaya, napenda sana kusoma thread zako, na kuna wakati nikiona heading imechapiwa nahisi ni wewe kabla sijaangalia mwandishi.

Ni swala dogo tu la kujizoesha kupitia nini tuliachoandika kabla ya kutuma.

Yalishawahi kunikuta kwenye emails nimetuma kumbe simu ilifanya autocorrect ikaniwekea maneno ambayo siyo yangu, nilijuta.
 
πŸ™πŸΎ
 
Hivi kweli umeamua kumdhalilisha baba namna hii? Ukiendelea hivi hautafufuliwa siku ukidedi... Nimemua kumwachia Mungu

Ole wako usipotubu
 
Nimekudharau sana baada ya kusema mumeo umemfanya zezeta yaani bushoke..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I do appreciate mkuu we should love one another

We all love you humu JF, and we know that you love us all.

You are naturally gifted with that, and it is just how you carry yourself. I personally couldn't do it if I know you will overreact.
 
Amri mpya ninawapa "pendaneni kama ninawavyowapenda mimi"
mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako
na hii karne,tunajitahidi tu
bt kidunia self love is a selfish or not?? and minding ur own business? inakaaje hapa!
 
Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…