Natamani sana serikali itoe ufafanuzi zaidi wa hii gas yamtwara kwakweliNasikia ile ya kwenye mitungi ya kupikia lazima itokane na mafuta ya petroleum, wataalamu wetu humu watatujuza
Kuna vita kubwa kutoka kwa wauza mafuta, isipuuzwe.Natamani sana serikali itoe ufafanuzi zaidi wa hii gas yamtwara kwakweli
Walitoga ufafanuzi kuwa kitajengwa kiwanda cha kuchakata gas kuwekwa kwenye mitungi kimya
Wanachi waliopitiwa na bomba now kwa Mara ya pili wanafungua a/c wapewe fidia ..
Mradi ulikuja kwa ukubwa sana huu
Ni vigumu sana kumtofautisha Kati ya Prof na mwenye diploma ya ualimu kwenye uongozi wetu.Kipimo cha kwanza kabla kuhamia huko jiulize umeme utokanao na gesi umeshaanza kufanya kazi,km bado bhs ndugu yang wazo lako litabaki km nightmare.Leo hii kuna baadh ya sehemu hawana hata maji,sukari tu imetushinda what about the big project km iyo??!.
We don't have smart people kwenye uongozi tuna watu average tu na overrated,we ukitaka kujua watafute wale ma prof na wasomi wengine waliopo kweny system measure their thinking capacity ndo utaelewa kuwa hilo suala halitawezekana.
😃😃 na standard 7 wote cognitive abilities zinafanana ila tutafika tu mdogo mdogo.Ni vigumu sana kumtofautisha Kati ya Prof na mwenye diploma ya ualimu kwenye uongozi wetu.
Hawamsaidii rais na Wala hawajiuzulu Kama mawazo yao yakipuuzwa. Na wao hadi watumbuliwe ndo wanaondoka
Dar yenye magari mengi sana kwa Tanzania yetu hii, ina kituo kimoja cha kujaza gesi maeneo ya Ubungo kama nakumbuka vizuri.Tanzania inayo gesi nyingi lakini uagizaji wa mafuta bado uko juu. Hela nyingi za kigeni bado zinahitajika kuagiza mafuta.
Kwanini Tanzania tusifanye maamuzi magari magumu ya kubadilisha magari yote hasa yake madogo nchini kuanza kutumia gesi yetu badala ya mafuta ya petrol?
Tunaweza kuanza na miji mikubwa Kama Dar, Tanga, Dodoma, Mwanza na Arusha Kama pilot.
Bila kufanya hivyo athali za CORONA zitatusumbua sana kwa miaka mingi.
Kituo chenyewe usumbufu balaaDar yenye magari mengi sana kwa Tanzania yetu hii, ina kituo kimoja cha kujaza gesi maeneo ya Ubungo kama nakumbuka vizuri.
Ili zoezi hilo kifanyike lazima kuwa na vituo kila kona ya Dar. Hili si leo wala kesho. Pili, bei ya kufanya gari itumie gesi ishuke na kubebwa na serikali.
Bila haya kufanyika, itakuwa ndiyo ya alinacha.
Kikiwa kituo kimoja, bila shaka rushwa itaingia tu.