Tunakaribia kushindwa kutumia gesi yetu kwani magari ya umeme yanakuja kwa kasi ni ndani ya miaka 10 tu yatatawala. Pia huwezi kuanza kutumia gesi kwenye magari kabla ya kui liquify iwe kimiminika. Huo ni uwekezaji wa matrilioni.Tanzania inayo gesi nyingi lakini uagizaji wa mafuta bado uko juu. Hela nyingi za kigeni bado zinahitajika kuagiza mafuta.
Kwanini Tanzania tusifanye maamuzi magari magumu ya kubadilisha magari yote hasa yake madogo nchini kuanza kutumia gesi yetu badala ya mafuta ya petrol?
Tunaweza kuanza na miji mikubwa Kama dsm, tanga, Dodoma, mwanza na Arusha Kama pilot.
Bila kufanya hivyo athali za CORONA zitatusumbua sana kwa miaka mingi.
Magari ya umeme yaje, na yale yetu yatumie gesi.Tunakaribia kushindwa kutumia gesi yetu kwani magari ya umeme yanakuja kwa kasi ni ndani ya miaka 10 tu yatatawala. Pia huwezi kuanza kutumia gesi kwenye magari kabla ya kui liquify iwe kimiminika. Huo ni uwekezaji wa matrilioni.
Ni kwa vile jiwe hashauriki ningemshauri kitu fulani cha msingi na tungeepuka kupoteza matrilioni kwenye gasi liquefaction, bomba la Uganda-Tanzania, Nyerere hydroelectric project nk. Otherwise tutapigika kimamba.Magari ya umeme yaje, na yale yetu yatumie gesi.
Hadi sasa LPG-Gas ya kwenye mitungi ya kupikia bado tunaagiza nje ... Je ya magari tutafika lini?Tanzania inayo gesi nyingi lakini uagizaji wa mafuta bado uko juu. Hela nyingi za kigeni bado zinahitajika kuagiza mafuta.
Kwanini Tanzania tusifanye maamuzi magari magumu ya kubadilisha magari yote hasa yake madogo nchini kuanza kutumia gesi yetu badala ya mafuta ya petrol?
Tunaweza kuanza na miji mikubwa Kama dsm, tanga, Dodoma, mwanza na Arusha Kama pilot.
Bila kufanya hivyo athali za CORONA zitatusumbua sana kwa miaka mingi.
Tusipoamua Sasa tutaamua lini, hili sio jambo la mtu mmoja. Kama tusiposema leo gas yetu, chuma chetu, bahari yetu na rasilimali zetu nyingine zitunufaisheji leo leo basi wageni watatuamulia kesho. Je, watu tuliowaweka serikalini, bungeni na kwenye mahakama zetu wanatufikisha tunakokwenda kwa speed ya dunia inakoelekea?Hadi sasa LPG-Gas ya kwenye mitungi ya kupikia bado tunaagiza nje ... Je ya mgari tutafika lini?
Sina hakika na mabeberu watakacho tufanyia
Kwani ile Gas ya Mtwara vipi?Hadi sasa LPG-Gas ya kwenye mitungi ya kupikia bado tunaagiza nje ... Je ya mgari tutafika lini?
Sina hakika na mabeberu watakacho tufanyia
Hata umeme na wewe umeenda mbali pia ikiwa zile pikipiki za kuchaji kwa umeme haziwezi hata kupanda mlima izo gari itakuwaje?Mkuu gesi umeenda mbali. Viwanda vya magar vinauwezo wa kutengeneza magar ya kutumia umeme ambayo ni self or solar charging. Ila shida inakuja kwenye soko la mafuta. Hii ni biashara ambayo matajiri wanamkono mrefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea matoy ya watoto nini, hata huko Marekani na Ulaya hizo gari hazipoMkuu gesi umeenda mbali. Viwanda vya magar vinauwezo wa kutengeneza magar ya kutumia umeme ambayo ni self or solar charging. Ila shida inakuja kwenye soko la mafuta. Hii ni biashara ambayo matajiri wanamkono mrefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini serikali iliamua kujenga mfumo wa bomba kwanza?Tusipoamua Sasa tutaamua lini, hili sio jambo la mtu mmoja. Kama tusiposema leo gas yetu, chuma chetu, bahari yetu na rasilimali zetu nyingine zitunufaisheji leo leo basi wageni watatuamulia kesho. Je, watu tuliowaweka serikalini, bungeni na kwenye mahakama zetu wanatufikisha tunakokwenda kwa speed ya dunia inakoelekea?
Yqan unamaanisha gari za solar na kuchaji hazipo???Unaongelea matoy ya watoto nini, hata huko Marekani na Ulaya hizo gari hazipo
Nasikia ile ya kwenye mitungi ya kupikia lazima itokane na mafuta ya petroleum, wataalamu wetu humu watatujuzaKwanini serikali iliamua kujenga mfumo wa bomba kwanza?
Serikali inapambana na kuzuia uchomaji mkaa mitipori ambayo inategemewa sana na jamii. .. Mfano kule mbalali wananchi kucha wanapambana na migambo wananyang'anywa mikaa lakini bado wanaendelea
Kwanini wasinge tangulia kuchakata ya kuweka kwenye mitungi na bei zikapungua ....
adha ya mkaa ikapungua?
Zipo lakini hata huko majuu bado gari za hivyo ni 0.000008% ya magari yote duniani. Mengi bado Ni matoy ya kuchezea watoto.Yqan unamaanisha gari za solar na kuchaji hazipo???
Mbona hio kitu iko kawaida sana siku hivi. Fatilia Ford na Tesla wanatengeneza high-performance cars zinazotumia umeme
Hata umeme na wewe umeenda mbali pia ikiwa zile pikipiki za kuchaji kwa umeme haziwezi hata kupanda mlima izo gari itakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app