Ampicillin inazuia mimba?

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,742
Reaction score
3,319
Habari wakuu

Katika mazungumzo yetu leo na mchumba nilimsikia akidai rafiki yake kamwambia eti akiwa anajua anaenda kusex basi ameze Ampicillin kwa ajili ya kuzuia ujauzito.

Eti magwiji yuko sawa?
 
Mimi najua ni zile emmergency after pills au p2, kutumia kinga ama njia za uzazi wa mpango, kuwithdrawal kwa wanaoweza na kujua siku za hatari, hizo ndio njia za kuzuia ambazo zinafanya kazi vzuri kama zikitumiwa sahihi

hizo zingine sjui
 
me najua ni zile emmergency after pills au p2, kutumia kinga ama njia za uzazi wa mpango,kuwithdrawal kwa wanaoweza na kujua siku za hatari, hizo ndio njia za kuzuia ambazo zinafanya kaz vzr kama zikitumiwa sahihi

hizo zingine sjui
Kingine naomba unisaidie
Nilichukua app ya ladytimer kwa ajili ya kufuatilia mzunguko wake,lakini naona kama inaonesha siku za hatar ni tano tu katika mzunguko tofaut kbsa na picha nyingine hapo chini
je ipi ni sahihiView attachment 1469916
View attachment 1469918
 
Condom haina uhalisia wa kile kinachotakiwa kukihisi
Basi mwambie awe anamwagia nje.. Ila kunywa midawa hyo mtakuja pata mikansa ya ajabu mseme mmerogwa..

Ampiccilin ni dawa inayotibu vitu vingi ikiwemo magonjwa ya ngono na UTI, hlo la kuzuia mimba ni jipya..

Juzi tu hapa koo langu lilikua linakwaruza nikanywa Ampicillin kesho yake nikawa fresh..
 
Flagyl ndo mwisho wamatatizo, we binuka ujuavto ila kamba la masaa 8 toka umefanya ufirauni wako meza flagyl 8 then kunywa maji mengi sana. Ukishindwa hapo binuka ujuavto ukimaliza tu akati mnaondoka chumbani meza paracetamol 4 na cocke 0. Then inayobaki oshea huko chini. Hutosikia mimba
 
Dawa zako nzuri mkuu ila zina gharama sana kwa sisi wananchi wa kawaida
Mkuu kizuri hujiuza kibaya chaji tembeza dawa zangu ni nzuri na ni gharama kwa sababu zinatibu na nina uhakika ufanyaji wake dawa zangu ni mzuri tofauti na dawa za watu wengine hazitibu na bei yake ni rahisi.
 
Haya Maelekezo mengine mtakuja kuua watu, Mtu ameze Flagyl 8?
 
Habari wakuu

Katika mazungumzo yetu leo na mchumba nilimckia akidai rafiki yake kamwambia eti akiwa anajua anaenda kusex basi ameze Ampicillin kwa ajili ya kuzuia ujauzito.

Eti magwiji yuko sawa?
Mkuu, ikimbie zinaa. Kama huwezi kuzuia kuwaka tamaa OA. Unaweza kufhani unafurahia maisha katika hilo utendalo sasa, lakini majuto yako mbele yako. Nakusihi uikimbie zinaa mkuu wangu.
 
Huku ni kujitafutia kifo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…