Amos Makala analeta Ubaguzi kwenye Ofisi ya Umma

Rubbish. There is no such thing as Wazee wa CCM. Hivi vikao vya "Wazee wa Dar es Salaam" vilikuwapo tangu enzi za Wakoloni. Ni wazee wa Dar es Salaam - literary ni wazee, huvaa kandambili, kanzu nyeupe na baraghashia, wengi wao sifa yao pekee ni uzee, wala hawajui kusoma. Rejea Kitabu cha Sheikh Mohamed Said kiitwacho THE LIFE AND TIMES OF ABDULWAHEED SYKES, THE FORGOTTEN HISTORY OF THE STRUGGLE BY MUSLIMS IN THE LIVERATION OF TANGANYIKA. Jameni tusikubali tuharibiwe historia ya nchi yetu na hawa wanaharakati wasaliti. Kesho na kesho kutwa Yanga watasema bendera zake mbona ni za chama kimoja? Hiyo nayo ni historia.

Mhe. Makala ni CPA, kama kesho ataamua kukutana na Wahasibu wenziye, mwacheni akutane nao, hata Godbless Lema na Catherine Ruge nao pia ni CPA, waacheni tu wahudhurie. Msisingize eti matumizi ya hela ni za nani, wakitumia Wazee au Wahasibu ni matumuzi rasmi ya umma, si ya chama.

ZFZMWCCM
Angeita wazee wa Dar wala kusingekuwa na ubaguzi unaoonekana lakini amesema wazee wa CCM, hivyo wasiokuwa na itikadi ya chama hicho hawana nafasi kwa Makala hata kama ana maoni yaliyo bora.muhimu ni ofisi ya umma isinajisiwe kwa ubaguzi wa aina yeyote

Kama angeenda katika ofisi ya Chama au akakodisha ukumbi akiwa ni mjumbe wa chama mkoa wala kusingekuwa na tatizo.
 
Hivi vyeo na sheria ya tawala za mkoa na serikali za mitaa hazina tija kwa Sasa ila zilifaa Sana wakati wa ukoloni na kipindi cha ujamaa wa nyerere sio sasa
 
Ilani inayotekelezwa ni ya chama gani?? Suala la kukutana na wazee ni mbinu ya kiongozi ili kuyafikia makundi mbalimbali,ni utashi wake.
 
Jana na leo taarifa ya mkuu mpya wa mkoa wa Dar esSalaam, Amos Makala kukutana na wazee wa CCM wa mkoa huo zimeenea katika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Katika taarifa hiyo Makala amenukuliwa akisema atakuwa anakutana na wazee hao wa chama kila baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kujadili changamoto za mkoa huo.

Suala la kukutana na wazee si jambo baya kwa kiongozi yeyote wa umma hususan wale waliopewa dhamana ya kumuwakilisha Rais katika maeneo yao.

Ubaya unakuja pale kiongozi huyo anapoamini nafasi yake ni kwa ajili ya kundi fulani pekee kama amabvyo amefanya Makala

Kuamini kuwa wazee wenye mlengo wa CCM tu ndiyo wenye kubeba changamoto za wazee wote wa Dar esSalaam, ni kutowatendea haki wazee na wakazi wa Dar kwa ujumla tena kwa kutumia ofisi ya serikali ambayo inatakiwa kuwa wazi wakati wote kupokea na kusikiliza ushauri wa wananchi wote bila kujali kada zao.

Leo hii Makala anatumia ofisi na bajeti ya serikali kukutana na wazee wa chama pekee,ilihali nafasi hiyo ya kichama wazee hao wangetumia kujadili mustakabali wao kwa viongozi wa chama kabla ya kufika serikalini.

Uamuzi huo wa Kibaguzi wa Makala ni tofauti na dhamira nzuri ya Rais Wetu Samia Suluhu Hassan ya kutobagua watanzania kwa itikadi zao.

Rais amewateua wasaidizi wake akiamini watakuwa wamejua dhamira yake lakini kwa haraka sana Amos Makala ameshindwa ama kwa kutojua au kwa kujua kuwa falsafa yake ya kutumia ofisi ya umma kibaguzi, hailingani na matamanio ya Rais
Wenzio Chadema walifurahi Huyu kurudishwa limradi wamprove wrong Mwendazake eti wakiamini alitumbuliwa kwa chili🤣🤣 Tuna upinzani wa ajabu TZ haujawahi tokea Africa nzima
 
Rubbish. There is no such thing as Wazee wa CCM. Hivi vikao vya "Wazee wa Dar es Salaam" vilikuwapo tangu enzi za Wakoloni. Ni wazee wa Dar es Salaam - literary ni wazee, huvaa kandambili, kanzu nyeupe na baraghashia, wengi wao sifa yao pekee ni uzee, wala hawajui kusoma. Rejea Kitabu cha Sheikh Mohamed Said kiitwacho THE LIFE AND TIMES OF ABDULWAHEED SYKES, THE FORGOTTEN HISTORY OF THE STRUGGLE BY MUSLIMS IN THE LIVERATION OF TANGANYIKA. Jameni tusikubali tuharibiwe historia ya nchi yetu na hawa wanaharakati wasaliti. Kesho na kesho kutwa Yanga watasema bendera zake mbona ni za chama kimoja? Hiyo nayo ni historia.

Mhe. Makala ni CPA, kama kesho ataamua kukutana na Wahasibu wenziye, mwacheni akutane nao, hata Godbless Lema na Catherine Ruge nao pia ni CPA, waacheni tu wahudhurie. Msisingize eti matumizi ya hela ni za nani, wakitumia Wazee au Wahasibu ni matumuzi rasmi ya umma, si ya chama.

ZFZMWCCM
CPA Holders are not administrator. MSIMLAUMU MSAMEHENI BURE.
 
Makala aongeze pia kuonana na umoja wa vijana na kina mama wa CCM wa Dar.
CCM ndo chama dola,wewe unalalama nini sasa.
 
Sisi CHADEMA tumeungana na CCM baada ya Magufuli kufariki. Acha wazee wa CCM watuwakilishe kwa mkuu wetu wa mkoa, mteule wa rais wetu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Jana na leo taarifa ya mkuu mpya wa mkoa wa Dar esSalaam, Amos Makala kukutana na wazee wa CCM wa mkoa huo zimeenea katika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Katika taarifa hiyo Makala amenukuliwa akisema atakuwa anakutana na wazee hao wa chama kila baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kujadili changamoto za mkoa huo.

Suala la kukutana na wazee si jambo baya kwa kiongozi yeyote wa umma hususan wale waliopewa dhamana ya kumuwakilisha Rais katika maeneo yao.

Ubaya unakuja pale kiongozi huyo anapoamini nafasi yake ni kwa ajili ya kundi fulani pekee kama amabvyo amefanya Makala

Kuamini kuwa wazee wenye mlengo wa CCM tu ndiyo wenye kubeba changamoto za wazee wote wa Dar esSalaam, ni kutowatendea haki wazee na wakazi wa Dar kwa ujumla tena kwa kutumia ofisi ya serikali ambayo inatakiwa kuwa wazi wakati wote kupokea na kusikiliza ushauri wa wananchi wote bila kujali kada zao.

Leo hii Makala anatumia ofisi na bajeti ya serikali kukutana na wazee wa chama pekee,ilihali nafasi hiyo ya kichama wazee hao wangetumia kujadili mustakabali wao kwa viongozi wa chama kabla ya kufika serikalini.

Uamuzi huo wa Kibaguzi wa Makala ni tofauti na dhamira nzuri ya Rais Wetu Samia Suluhu Hassan ya kutobagua watanzania kwa itikadi zao.

Rais amewateua wasaidizi wake akiamini watakuwa wamejua dhamira yake lakini kwa haraka sana Amos Makala ameshindwa ama kwa kutojua au kwa kujua kuwa falsafa yake ya kutumia ofisi ya umma kibaguzi, hailingani na matamanio ya Rais
Huyo Rais mama Samia unayemsifia pia ni mbaguzi, kwa nini atoke Dodoma kwenda kuongea na Wazee wa Dar, kwani East Zoo hakuna wazee?
 
huu ni mkoa wa kibiashara tunahitaji mkuu wa mkoa mwenye mentality ya business hata kama ni mhindi sio hawa wanasiasa njaa
 
Amos Makala ni mtu asiyefaa kuwa mtumishi wa umma sema Mama anapotoshwa naye amekubali kupotosheka.
Amos Makala kaanza vibaya. Ingeeleweka angafanya hivyo enzi za awamu ya 5 maana mwendazake alikuwa mbaguzi sana wa vyama. Lakini hizi ni zama mpya. RC Makala ajisahihishe.
 
CHADEMA na nyinyi si muwe mnakutana na wazee wenu kila baada ya wiki?😂😂😂😂
 
Jana na leo taarifa ya mkuu mpya wa mkoa wa Dar esSalaam, Amos Makala kukutana na wazee wa CCM wa mkoa huo zimeenea katika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Katika taarifa hiyo Makala amenukuliwa akisema atakuwa anakutana na wazee hao wa chama kila baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kujadili changamoto za mkoa huo.

Suala la kukutana na wazee si jambo baya kwa kiongozi yeyote wa umma hususan wale waliopewa dhamana ya kumuwakilisha Rais katika maeneo yao.

Ubaya unakuja pale kiongozi huyo anapoamini nafasi yake ni kwa ajili ya kundi fulani pekee kama amabvyo amefanya Makala

Kuamini kuwa wazee wenye mlengo wa CCM tu ndiyo wenye kubeba changamoto za wazee wote wa Dar esSalaam, ni kutowatendea haki wazee na wakazi wa Dar kwa ujumla tena kwa kutumia ofisi ya serikali ambayo inatakiwa kuwa wazi wakati wote kupokea na kusikiliza ushauri wa wananchi wote bila kujali kada zao.

Leo hii Makala anatumia ofisi na bajeti ya serikali kukutana na wazee wa chama pekee,ilihali nafasi hiyo ya kichama wazee hao wangetumia kujadili mustakabali wao kwa viongozi wa chama kabla ya kufika serikalini.

Uamuzi huo wa Kibaguzi wa Makala ni tofauti na dhamira nzuri ya Rais Wetu Samia Suluhu Hassan ya kutobagua watanzania kwa itikadi zao.

Rais amewateua wasaidizi wake akiamini watakuwa wamejua dhamira yake lakini kwa haraka sana Amos Makala ameshindwa ama kwa kutojua au kwa kujua kuwa falsafa yake ya kutumia ofisi ya umma kibaguzi, hailingani na matamanio ya Rais
Huyu ndiyo maana meko alimpiga chini.
 
Makala ni mtu asiyefaa hata kuongoza kijiji. Huyu mtu ni mzee wa Msoga 'kamtupia mama yetu SSH gunia la misumari.
 
Back
Top Bottom