mkalamo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 324
- 347
- Thread starter
- #21
Angeita wazee wa Dar wala kusingekuwa na ubaguzi unaoonekana lakini amesema wazee wa CCM, hivyo wasiokuwa na itikadi ya chama hicho hawana nafasi kwa Makala hata kama ana maoni yaliyo bora.muhimu ni ofisi ya umma isinajisiwe kwa ubaguzi wa aina yeyoteRubbish. There is no such thing as Wazee wa CCM. Hivi vikao vya "Wazee wa Dar es Salaam" vilikuwapo tangu enzi za Wakoloni. Ni wazee wa Dar es Salaam - literary ni wazee, huvaa kandambili, kanzu nyeupe na baraghashia, wengi wao sifa yao pekee ni uzee, wala hawajui kusoma. Rejea Kitabu cha Sheikh Mohamed Said kiitwacho THE LIFE AND TIMES OF ABDULWAHEED SYKES, THE FORGOTTEN HISTORY OF THE STRUGGLE BY MUSLIMS IN THE LIVERATION OF TANGANYIKA. Jameni tusikubali tuharibiwe historia ya nchi yetu na hawa wanaharakati wasaliti. Kesho na kesho kutwa Yanga watasema bendera zake mbona ni za chama kimoja? Hiyo nayo ni historia.
Mhe. Makala ni CPA, kama kesho ataamua kukutana na Wahasibu wenziye, mwacheni akutane nao, hata Godbless Lema na Catherine Ruge nao pia ni CPA, waacheni tu wahudhurie. Msisingize eti matumizi ya hela ni za nani, wakitumia Wazee au Wahasibu ni matumuzi rasmi ya umma, si ya chama.
ZFZMWCCM
Kama angeenda katika ofisi ya Chama au akakodisha ukumbi akiwa ni mjumbe wa chama mkoa wala kusingekuwa na tatizo.