Amos 5 @ 17'e

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
wataalam,niliwahi kuipata amos 5 kwa dish la Eurostar 6 ft kama miezi 3 iliyopita,lakini kwa sasa kila nikiijaribu haipatikani tena,setup ya dish iko sawa maana naipata leuters news ambayo pia ipo katika satellite hiyo hiyo,je optima wamebadilisha chochote wadau,msaada tafadhali maana natumia receiver ya DVB-S2 MPEG4 HD
 

optima wanapatikana tu hapo hapo
 
ahsante mkuu,ngoja nirudi tena vitani nitakujulisha kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…