Amnesty International: Tanzania must immediately launch independent, impartial and thorough investigations into all allegations of killings

Ninaposema kuna watu hawachomoki ICC Safari hii huwa namaanisha!

Lazima tuchore mstari kuwa udhalimu haulipi mwaka huu. Na bado!

Ushahidi wote wa waliyoyafanya mwaka huu wanao!!
Teknolojia ya Dunia iko mbali sana chini ya jua hili huwezi kufanya jambo lolote na ulimwengu USIKUONE
 
Hahaha nitakuwa wa mwisho kuwaamini hawa, mi nataka nione action siyo blah blah hiz.
 
hizi ni baadhi ya nchi zilizoingia migogoro na.........
nigeria Russia USA israel pia india waliwafungia kisa
1)chombo cha British intelligence eu walkua na access nacho kupitia EU
2)one sided reporting
3)kupokea michango ya baadhi ya nchi
4)walihisika na apartheid s a (waliwazuia kwa namna 1 ama nyingine wasauth kuzifikia nchi zizlzokua zinasapoti harakati
5)walihusika kuanzisha vita vya gulf kwa kuidanganya dunia sadam aliua watoto 500 walokua kwe incubator

msasahau ku Google hawa watu 1)ģaëtan mootoo
2)rosalind macgregory
3)airen khan and the...eeei aiii
hao ndowanatusema 😁😁maajabu hayataisha duniani asee





Moderator naomba msiifute maana sjataja mtu yoyote yule wala taasisi yoyote ile nataka watu wakajisomee wenyewe
Pow
Active
Wakorinto
 
MWAKA huu hatupui ,tz yangu inakaliwa kohoni kila mahala, hii inaitwa no safe side you can die safely,
 
Kiongozi au office inatakiwa kuwa makini sana na matamko au maelekezo inayotoa. Sijui kama wanajua hasara ya kutoa matamko yasiyotekelezeka
Member mmoja alisema,mama anahogopa uku anacheka , Mambo ni fire Sana mkuu mama D
 
Msando Ana kazi ya kujibu jamani mara amjibu pompeo,mara Amsterdam mara eu leo tena hawa
 
Back
Top Bottom