Amnesty International: Tanzania must immediately launch independent, impartial and thorough investigations into all allegations of killings

Rubbish! Tell them to go and ask US government why they detained terrorist suspects for more than 10 years at Quantanamo without charging before the court of law!
 
Acha ujinga na ficha upumbavu wako kwa issue serious! Nchi huru inaua na kuwatesa raia wake? Sina uhakika Kama una amani moyoni kwa haya yanayoendelea hapo nchini zaidi unajibaraguza ili ushibe! Na keshokutwa utakwenda kanisani kushiriki ibada ulivyo na roho ngumu!
Wale wana CCM waliouwawa Mbeya na Songwe pia yule askari wa JKU Pemba mbona hatukusikia wanasema lolote. Waambie watuache kabisa ni mabwege tu hao Amnesty!
 
watu
Ninaposema kuna watu hawachomoki ICC Safari hii huwa namaanisha!

Lazima tuchore mstari kuwa udhalimu haulipi mwaka huu. Na bado!

Ushahidi wote wa waliyoyafanya mwaka huu wanao!!
watu wanafikiri dunia bado ipo enzi za gizani kwamba utadhulumu usionekane. watashangaa na roho zao. ushahidi wa uovu wao upo kila mahali sasa
 
Kwa sababu wewe ni Lumumba buku 7
Unaona mlivyo wajinga, mtu akitofautiana nanyi nyumbu, anaitwa lumumba buku 7. Unamfaham patrice lumumba kwanza ww, unajua kitu alifanyiwa na Belgium, sympathizers wa bwana wenu, ndio waliomuua lumumba.
 
Msando ni tumbiri tu, hawezi kutunisha msuli kwa Amsterdam.
Kwa taarifa yako Amsterdam ni shoga tu huyo ila kwa kuwa wewe ni utopolo unamwona wa maana sana. Ni kwako tu sisi wengine tunamwona shoga tu kama mashoga wengine.
 
Back
Top Bottom