Amma kwa hakika saa ya ukutani haivaliki mkononi !

kuishi kwa mwanamke raha sana chukueni hii mahusiano ya wawili ambao kila mmoja anakwake asilimia mia huishia kwa wanaume kuhamia kwa mwanamke hamtaki mnaacha.
 


Haiwezekani... kama haki yangu ipo lazima itajilipa katika njia moja au nyingine..., hakuna uthibitisho wa maandishi, hence mahakamani haitowezekana..., Bora tukose wote kwanza namuendea TANGA, nikishindwa BAGAMOYO, Nikishindwa PEMBA. NA Kama haitowezekana namalizia SUMBAWANGA......, Kama bado namalizia NIGERIA.. Mwisho wa ubishi...!
 

uyo bwa mdogo wako, yaeleka ni mgeni kwenye mambo ya malovee,awo ndo wanawake ila next time arudii tena makosa pole zake mpe.,
 
Ni angalizo kwa tupendao mteremko wa maisha
kabisa yan, no shortcut to success, haya ss kivulana cha watu kimeumbuka mmh.
yan vijana wa siku iz wanapenda mitelemko jaman had wanaboa.
ili pia ni fundisho.
 
jaman me nadhan huyo mshkaj alikuw n lengo zur l kujenga maisha n mpnz wake,ndio maan alipopata hela akaona bora aongeze mtaji maisha yaende,n alipohamia kwa mpnz wake alidhan anaunda tume ya kuendelez maisha,ambacho hakukijua n kwamba mpnz wake hakuw na mapenz ya kweli na alikuwa anamtumia tu...kwahy namshauri ajipange upya,na hata siku moja asiishi kwa kumtegemea msaada mkubwa wa mpnz
 
ha ha ha.....aliiba akapeleka wa GF sasa GF nae kashtuka atakuja kumuibia na hakujua kwamba GF nae alikuwa anamlia timing tuu kwanza aongeze mtaji kwanza ndo amuonyeshe town watu wanaishije....muosha huoshwa
 
Baba - Baba Sirmudy hayo maeneo uliyoyata mziki wake balaa! Ni maeneo hatarishi, kuna sharo mtaani kwetu alikua aliiba pikipk mwenyewe akamsafiria Bagamoyo, jamaa amepigwa sio Busha! Sema M'busha unganisha jabulani 4 hata akikaa juu ya pikipk anakua juujuu kwa kulikalia shipa !
 
ha ha ha.....aliiba akapeleka wa GF sasa GF nae kashtuka atakuja kumuibia na hakujua kwamba GF nae alikuwa anamlia timing tuu kwanza aongeze mtaji kwanza ndo amuonyeshe town watu wanaishije....muosha huoshwa
 
kam ni uswazi halafu katupiwa kibegi nje nomaaa...alitamani ardhi ipasuke ajichimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…