Amjaza mimba mtoto wa dada yake

Amjaza mimba mtoto wa dada yake

Wewe washangaa hayo tu! Kuna jamaa alishamuoa kabiasa mtoto wa dadake baada ya kumpiga mimba pindi akikaa kwao wakati akisoma. Baada ya kumpa mimba akachomoka nae kwao jamaa. Familia ya dada ake ikavunja undungu na binti na kuwapiga ban ya kurudi milele ila cha ajabu mwaka juzi mama yake na binti aliugua basi wakaitwa kwenda kumuuguza ikiwepo na kuwa wanatoa usafir wa kumpeleka hospitalini maana jamaa ana ka-gari ka-passo hivi hivyo saivi mambo safi na wana watoto watano.
 
Back
Top Bottom