Amiri jeshi utakagua gwaride mpaka lini??

Amiri jeshi utakagua gwaride mpaka lini??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
Mkuu wa kaya hakika tunakupenda..kweli tunaua uko busy
lakini kuna mambo mengine unajitakia kuchoka ,,hili swala la kukagua gwaride linaisha lini baba ...??kila mwaka wewe...embu siku hii itumike kuwapa heshi ma wakina dk silaa..mwakyembe..mwanahalisi-kubenea na wengineo watukague kwa heshima kwa walivyotutoa matongo tongo machoni huku ukiwamwagia acid....
Kwa hakika utakuwa ukiwaweka wana majambazi motoni lakini wale wa chukua mapema watashindwa kukujua vizuri..lakini leo hii umeozoeleka sana ndio maana kila mtu anaiba anavyotaka...anafanya anayotaka akijua jk awezi kuongea...haya pumzika baba hata kama kuna ka diem...kwa hili

""""ipotezee"" mkuu
 
Back
Top Bottom