kibaizi kiki
Senior Member
- Dec 23, 2012
- 160
- 39
Natambua katiba ya nchi ya sasa na hata rasimu ya pili ya katiba inatambua kuwa rais wa nchi ndiye atakua amiri jeshi mkuu. Na moja wapo ya matukio baada ya kuapishwa rais na katika matukio mengi ya kitaifa rais ukagua goalie la majeshi yake yote.
Naomba wana JF mnisaidie kunielimisha juu ya hili. Hivi kama rais ni mlemavu wa miguu anawezaje kukagua gwalide la majeshi yake? Je aweza kutembezwa kwa wheelchair? Au mlemavu hawezi kuwa amiri jeshi mkuu? Naomba kujua