Kazi tuAMIRI JESHI MKUU KAZINI BANA
Hili swali lako linahitaji utaalamu wa hali ya juu kulijibu, mtu anaweza akaona ni swali la kitoto ila nadhani wataalamu wa saikolojia wanaweza wakalijibu vizuri kwa sababu wako hapa,Hivi kwanini TZ viongoz wengi wakiwa kwenye picha ya pamoja wanapenda kuweka miguu yao alama ya x.,...kwa kuikunja KWA chini,..
na sio TZ2 hata nchi zingine
Hapa kazi tuAmiri jeshi Mkuu wa JMTZ yuko kazini!
JPM Raisi wangu kwenye ubora wakeHapa kazi tu
Hivi kwanini TZ viongoz wengi wakiwa kwenye picha ya pamoja wanapenda kuweka miguu yao alama ya x.,...kwa kuikunja KWA chini,..
na sio TZ2 hata nchi zingine
kikwwete,mkapa,mwinyi hata nyererer pia picha zao wote wanmeweka X.,..ktk miguu,..Hili swali lako linahitaji utaalamu wa hali ya juu kulijibu, mtu anaweza akaona ni swali la kitoto ila nadhani wataalamu wa saikolojia wanaweza wakalijibu vizuri kwa sababu wako hapa,
Ni kama msichana akitongozwa kwa nini ajin'gate ngate vidole?
ila wengine hata kma hawapo ktk maswwala kijeshi,..i mean viongoz tu wakawaidaPamoja na kukaa pamoja bado ni lazima hadhira itambue (kupitia picha) nani ndio mhusika/wahusika wakuu, hasa hizi zinazohusu jeshi.
Ingawa kuna mmoja wa maofisa ambae nae hakukunja miguu.
Ni masuala ya itifaki za kijeshi tu mkuu.
Ndo utaratibuHivi kwanini TZ viongoz wengi wakiwa kwenye picha ya pamoja wanapenda kuweka miguu yao alama ya x.,...kwa kuikunja KWA chini,..
na sio TZ2 hata nchi zingine
Masonic??? Bora ungeacha tu kukoment, utaonekana kuwa wewe ni kiazi.kikwwete,mkapa,mwinyi hata nyererer pia picha zao wote wanmeweka X.,..ktk miguu,..
ila li JPM dahh tofauti kakaa pozii bayabayaaa kajiachai2 yaniiii,...
naskiaga ni ufreewill(masonic symbo)
ila sitaki kuamini maana waTZ siunawajua
aya bhana,...Masonic??? Bora ungeacha tu kukoment, utaonekana kuwa wewe ni kiazi.