autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Mi mwenzio nilililia na kupiga magoti hadi akakubali zaidi ya masaa mawili na nusu nabembeleza tena kwa machozi hadi magoti yanauma......usiwe mvivu na kujifanya mwema sana! hawataki wema hao. Work hard and AIM higher ila michepuko sio dili
Nimecheka sana sana, kila mtu ana namna yake ya kula.....mimi ndio nilikula kwa namna hio. dont take things too seriousWw ni dhaifu kweli unaliaa tena na kupiga magoti....
Hii ni fedheha kabisa kwa jamii ya wanaume.
Usijitape kuwa ulikula mzigo ..
Alikuonea huruma .
Nadhan hio ndo ilikua mara ya kwanza na mwisho.
Tumia ulijali wako sio kujiliza.
Hakuna mwnamke anaemtaka mwanaume dhaifu anaejiliza .
Hovyoooo kabisa.
ukishamgegeda then wat next? tatizo ameshakushtukia kitu pekee unachotaka ni papuchi yake tu, badilisha msimamo wako juu yake kimawazo na kimatendo, futa kabisa habari za ngono yani usigusie kabisa badala yake anza kumfanya ajihisi unampenda na kumuhitaji na si kumtamani, mtoe outings za sehemu kama beach hivi au hata kama ni lunch basi ziwe restaurant na si mahotelini manake anaweza hisi unampeleka huko kwajilli ya ngono, vizawadi hapa na pale mpaka asahau kama ulishawahi kugusia kitu hicho, then utaona mwenyewe

kweli tunatofautiana...mi huo mda wa kufanya huo upuuzi , sina na sitakuja kuupata!!
hakuna haja ya kupoteza muda. asipoteze muda wake na pesa zake.huyo mwanamke hampendi
Sema wewe Kaka.
Hapo kamekimbia shule.
Hahahaa! Lol utoto nao kaz kweli
utoto mwisho chalinzeHahahaa! Lol utoto nao kaz kweli