muislamsafi
Member
- Jan 25, 2012
- 78
- 20
barabara kuu itokayo babati kwenda galapo mkandarasi kaajiri raiya wanasambaza moramu kwa jembe la mkono picha ntaweka baadae
my take: kagawa pesa na wakurugenzi walio toa tenda pesa ya greder imekosekana
Naam mkuu tupe hako kapicha na details zingine kama vile tenda kapewa na Halmashauri au TANROADS. Hapa nchini kuna barabara za Mwanri na barabara za Dr. Magufuri hivyo si kila barabara atalaumiwa Dr. Magufuri. Niliona juzi kati Mwanri akikemea upunguzaji wa upana wa barabara huko Ludewa.Unajua ukifuatilia hawa maandazi si wazima, yani magufuli anapigia kelele ubora wa barabara mfano mzuri barabara ya kilwa, huku watu wanafanya yale yale, hawa maandazi hawaogopani. Na hao wananchi wanahesabu wamepata ajira! wanajinyonga wenyewe, barabara ikiwa mbovu si ni yao. Kweli umaskini na ujinga viatadumishwa kwa wengi nchi hii. Tunaomba jina na picha ya mkandarasi bandugu, baadae vitakuwa na mchango mkubwa,pa1
hio picha utaweka saa ngapi?au kesho?barabara kuu itokayo babati kwenda galapo mkandarasi kaajiri raiya wanasambaza moramu kwa jembe la mkono picha ntaweka baadae
my take: kagawa pesa na wakurugenzi walio toa tenda pesa ya greder imekosekana
Hii sayansi-uchumi ulisoma wapi?Naam mkuu tupe hako kapicha na details zingine kama vile tenda kapewa na Halmashauri au TANROADS. Hapa nchini kuna barabara za Mwanri na barabara za Dr. Magufuri hivyo si kila barabara atalaumiwa Dr. Magufuri. Niliona juzi kati Mwanri akikemea upunguzaji wa upana wa barabara huko Ludewa.
Pia mkuu ukisaidia tukajua urefu wa barabara manake inaweza ikawa ni eneo fupi hivyo ikawa uneconomical kutumia grader badala yake labour ikatumika.