Amini usiamini jitoto dogo huyu

Mwambie huku kwetu milima ya Upareni. Siku moja tu, Kwisha habari yake.
 
I see hata mother hakuelewi ukimtambulisha , anaonekana anafuta hata 3kg za mpunga
 

Duniani watu wamepitia mengi
 
Last edited by a moderator:
Duniani watu wamepitia mengi


Mkuu, we acha tu. Kutoka kubalehe mpaka mtu unafikia umri wa kiutu uzima bila kupitia mambo ya hajabu, basi hujaishi maisha yako maana kuna vingi vya kusimulia.
 

Hhahahah! Mkuu mikitu kama hii ukipiga pampu mbili tu wazungu haooooo! Kule chini kuna fukuto la ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…