Amini usiamini jitoto dogo huyu

Na uzito mkubwa sana kwa umri wake na sio ajabu ikafika siku akashindwa kutembea.
 
Mi nilijua mwili haujengwi kwa matofali ila sasa naona kuwa mwili haujengwi kwa junk food! Tuwe makini jamani coz we are what we eat!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…