amini usi amini..

amini usi amini..

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
waungwana swalamaa...kwakweli dunia inaenda pabaya sana,huwezi kuamini nimepita mitaa ya ilala sharifu shamba,eti kuna chama kilicho sajiliwa kabisa wanajiita SISI kwa sisi,HAWAJAMA nima shoga i mean guy,na huwezi kuamini kuna mapedoshe,mateja na vijana wenye nguvu kabisa,baada ya kufanya upelelezi wangu kwa njia za kininja,inasadikika hiyo organazation inazaminiwa na wamarekani na wanapewa hela nyingi sana kwa ajili ya kusapoti
 
That's really globalisation ! Wana Tanda Wazi.
Process of International intergration arisin frm the interchange of world views !
 
Dunia imekalibia kufika mwisho. Kunahaja kubwa sana wahizi human rights kutazamwa upya. Zinatupeleka pabaya sana. Lawful justification inazo wapatia hawa gays ni athari sana kwa watu wengine. Moja ya madhara tunayo yapata ni yakisaikolojia pale unapo kuwa na watoto wako au familia yako afu ghafla unakuta na kiumbe ambacho ni shoga. Huwa ina umiza sana nakutia hasira. Inasababisha mtu uwaze mengi ambayo huku ya tarajia.. wanatusababishia machukizo mengi sana hao watu.
 
waungwana swalamaa...kwakweli dunia inaenda pabaya sana,huwezi kuamini nimepita mitaa ya ilala sharifu shamba,eti kuna chama kilicho sajiliwa kabisa wanajiita SISI kwa sisi,HAWAJAMA nima shoga i mean guy,na huwezi kuamini kuna mapedoshe,mateja na vijana wenye nguvu kabisa,baada ya kufanya upelelezi wangu kwa njia za kininja,inasadikika hiyo organazation inazaminiwa na wamarekani na wanapewa hela nyingi sana kwa ajili ya kusapoti


hujamboo kijana
 
B'REAL avatar yako na maandishi yako kama vinaendana
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo hao wamarekani 'wanawazamini' madildo ama?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom