Amini hii ndio ofa kubwa zaidi ya viwanja dodoma 2019

Good Neighbour

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
942
896
MAHALI-Michese

KWA WASIOPAFAHAMU MICHESE
-Michese ni barabara ya iringa
-kufika michese unapita barabara ya vumbi inayokatiza mirembe-kikuyu-usalama wa taifa na kufika michese
-michese inapakana na chidachi

UMBALI TOKA CITY CENTRE

-michese iko umbali wa kilomita 6 toka city centre ambapo ni karibu zaidi kuliko kisasa(7km)

UMBALI WA VIWANJA TOKA BARABARA YA LAMI

-Mita 100(dakika 1 kwa mguu)

KUPIMWA
-viwanja vimepimwa na manispaa yenyewe na vina document(in-voice) na hati inatoka kwa jina lako

MIUNDO MBINU
-Huduma za maji+umeme haziko mbali
-Barabara nzuri na kubwa ya lami inayopitika vizuri

MANDHARI
-Viwanja hivi vinatizamana na itega ambapo watu wanajenga maghorofa matupu.

-viwanja hivi viko karibu kabisa na shule mpya itayojengwa

-Viwanja hivi viko karibu na soko jipya la michese linapojengwa

BEI ZA VIWANJA
-kama zilivyoandikwa kwenye jedwali hapo juu

NB-serekali(kupitia manispaa) wao wanauza sh.8,000/= kwa square metre na hapa tunauza 6,000/= tu kwa square metre

WAHI KWANI VILIKUWA VIWANJA 31 NA SASA VIMEBAKI 19 TU.

-HAKUNA MALIPO YA AWAMU NJOO NA CASH KABISA

ZINGATIA-MWISHO WA OFA HII NI 29/07/2019 SAA 3 USIKU.

KWA MAWASILIANO ZAIDI
0767833496
0622111186


IMG_20190620_171710_130.JPG
 
Mkuu naomba ufafanuzi katika hili
-inatizamana na Itega amabako watu wanajenga magorofa tu maana yake nini!
-Viwanja vimepimwana vina invoice kwa ajili ya malipo ! Ina maana nini kwa mnunuaji!

Kabla sijamlengesha mtu kwako!
 
1.itega ni sehemu iliyotengwa na serekali(kupitia CDA kwa kipindi hicho) kwaajili ya watu kujenga maghorofa tu kuleta mandhari/kivutio nzuri ya jiji jipya la dodoma

2.in voice ni aina mpya ya document itolewayo na manispaa baada ya kufuta kwa document inaitwa OFA mwaka 2018 mwezi July.Kupitia document hiyo mwananchi anaweza kupata hati ya kiwanja chake
 
*Viwanja Viwanja Viwanja*

Viwanja vipo *Ntumba* Karibu na Mji wa Serikali, Dodoma.

Sqm 1 ni Sh. 7,000/=
(sqm 1200 x Sh 7,000/= 8,400,000/=)

Mawasiliano *0713376113*

Vimebaki vichache kama vinavyoonekana katika ramani. *WAHI SASA* umiliki ardhi yako karibu na mji wa Serikali.

Malipo yanaruhusiwa kufanyika kwa awamu 2.
Km ngapi kutoka mjini?
 
OFA YA VIWANJA KARIBU NA LAMI

Viwanja viwili vilivyopimwa kwa bei ya ofa

MAHALI ; Nala chinangali

UMBALI TOKA CITY CENTRE MPAKA KWENYE ENEO ; 15km

UMBALI TOKA BARABARA KUU YA LAMI(SINGIDA ROAD) MPAKA KWENYE VIWANJA ; mita 300/dakika 4 kwa mguu

IDADI YA VIWANJA ; Viko viwili

UKUBWA WA KILA KIWANJA ; 602 sqm(ni zaidi ya miguu 30 kwa 20)

KUPIMWA : vyote vimepimwa(walipima manispaa wenyewe)

DOCUMENTS : vina in-voice kwaajili ya hati

VITU VILIVYO JIRANI
-shule mpya ya masister wa sathome
-eneo lao(masister)watapojenga hospital
-Tanesco substation
-Ngageya college of business
-Eneo la Nam hotel

MATUMIZI ; makazi na pia unaweza jenga apartment za kupangisha sababu ya taasisi za elimu zilizopo lazima wafanyakazi watahitaji kupanga

BEI YA KILA KIWANJA ;- Milioni 2.2 Tu

NB ; nakuibia siri,ukiona sehemu watu wa kanisa katoliki wapo jua hayo ni maeneo potential sana(i stand to be corrected)

MAWASILIANO
0767833496
0622111186

Follow me on istagram kwa jina dalali goodneighbour dodoma

THANK ME LATERView attachment 1144570
IMG_20190702_130130_505.jpeg
 
*Viwanja Viwanja Viwanja*

Viwanja vipo *Ntumba* Karibu na Mji wa Serikali, Dodoma.

Sqm 1 ni Sh. 7,000/=
(sqm 1200 x Sh 7,000/= 8,400,000/=)

Mawasiliano *0713376113*

Vimebaki vichache kama vinavyoonekana katika ramani. *WAHI SASA* umiliki ardhi yako karibu na mji wa Serikali.

Malipo yanaruhusiwa kufanyika kwa awamu 2.
Hiyo ramani mbona haionekani?
 
KIWANJA KINAUZWA @ NKUHUNGU WEST

MAHALI-Nkuhungu West

UMBALI TOKA CITY CENTRE-7km

UMBALI TOKA MAIN-ROAD-200m

UKUBWA WA KIWANJA-600Sqm,block-P,plot number 19

DOCUMENT-Full document+hakidaiwi
--------------------------------------------------------------------
HUDUMA ZA KIJAMII -maji+umeme vipo hapo hapo
-barabara zote za mitaa zimechongwa

MATUMIZI-Makazi

BEI- 7,000,000/=(ni ofa haina punguzo kabisa na kinahitaji kuuzwa haraka sababu ya shida ya haraka iliyompata mmiliki)

MAWASILIANO
0767833496
0622111186
IMG_20190706_090100_170.jpeg
IMG_20190706_090100_168.jpeg
IMG_20190706_090100_171.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom