Mkuu pale alibugi hakupaswa kujiassociate na Lowassa,pale kwa kumtaja Lowassa moja.kwa moja kura za Membe,January alizikosa,pia ukumbuke kura za Lowassa zilikuwa tayari zimeamua kuwa kwa Magufuli,kwa hiyo alichokifanya ni kukosa kura za kila upande ndio maana kawa wa mwisho
I can see mama kutoka Zanzibar akishinda kwa msaada wa kura za kundi la Lowasa,..strategically ccm itakuwa na mgombea weak kabisa,then Lowasa can go to any opposition party na kushinda kirahisi.