Ameuteka Moyo Wangu!!!!


Aaww!! Pasco, I am flattered and do appreciate kwa mtazamo wako juu yangu!!..
Ni kweli am very calm pia still searching for the man to be with for the rest of my life ambaye moyo umemwangukia, I hope atafeel the same tuwe pamoja otherwise ni maumivu ya moyo yataniandama.
Asante kwa ushauri mzuri, let me make my move in a nice and slow way!!..I just hope, he will feel the same na mwisho wa siku tuwe na life adventure pamoja na kuandika historia..
Dinner is one of my plans na nipo kwenye maandalizi..The way you wrote, yani napata fantasies ya hiyo siku tutakayoenda dinner na maybe outing zingine..Moyo wake ukiniangukia pia ,he will make me the happiest lady!!..mana kupenda nawe upendwe ndiyo inanoga.
Thanx again, let me try my luch kwa hizo techniques..angalau umenigusia slow respons ili nisiwaze sana, kwahiyo nitatilia manani
Cheers...


Ahahahaaaah!!!!

He nimeshtuka nikasema kajuaje kiswahili,mweeh!!..


Kupenda usipopendeka mmmh:A S-alert1:

Hapo sasa, unabaki na mawazo...Naomba anipende


Mi pale ni kama home haipiti siku sijatia maguu pale.

Vp unamwambiaje BJ avunje ukimya alonge nae? Akilonga nae jamaa ataishia kupanua shimo alafu anakula kona

Du!..kamanda unanitisha ila ndiyo inaweza kuwa hali halisi..maisha haya ni ngumu kujua mwenzio anakuwazia nini ati


pouwa!
BJ nishamalizana naye pale juu!

Umesomeka mamushka..thanx


Tuliza ball mtoto mbona hivyo??????????

Ha ha..Dena bwana, ungenipa mbinu mwaego)


Kweli inataka nguvu za ziada, kama usemavyo kukataliwa inaweza kutokea ila reputation yangu baadae kama atatangazia watu..namuona mtu fresh ila uwezi jua, simwamini kama hataniangusha..hivyo nipo njia panda

Belinda usipate tabu kabisa mbona m2 mwenyewe ndio mm, ujumbe umeshafika sasa naufanyia kazi nakuomba out weekend hii

Thanks kwa kufikisha ujumbe wako hapa jamvini


You made my day...ingekuwa namna hiyo ningekuwa nimepunguza mawazo kichwani....usitangazie watu lakini lol(joke)..


for the first time eversince nimemfahamu BJ.......
:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:

Then you've realised that I'm sooo into this guy!!..finally nimefall kwa mtu ambae hajui hisia zangu kwake!!



Ukweli sijui kama ana uhusiano mwingine ila kwa hisia atakuwa nao..asante kwa hizo njia, basi nitanda hivyo hivyo ili nimvute kwangu kidogo kidogo..simu nitaitumia vizuri, maneno matamu na kumwachia yeye aseme ajisikiacho...I hope hatanichezea akinifeel pia..


Maskini Belinda pole sana mapenzi yanautesa moyo wako.
Nadhani sasa uanze kutumia Body language ipasavyo

Besti usiseme mwenzangu, yananitesa siyo kidogo..hizo body language nazifanyia kazi!!thx


Tupo pamoja mm hofu yangu kubwa jamaa anaweza akamchezea weeeeeee akisha chuja anachapa mwendo si kajipeleka mwenyewe

ukisema hivyo nasisimka sana, asije akanichapa na kuniacha nalia mwana wa watu!..Sitojipeleka kivile basi
 
Ukisema hivyo nasisimka sana, asije akanichapa na kuniacha nalia mwana wa watu!..Sitojipeleka kivile basi

[/QUOTE]
Problem Belinda ukiwa kwenye mapenzi, would you know the limit that you can go? I don't think so..You just do it blindly.
 
:A S thumbs_up:

Nyamayao kanifurahisha hata mie kwenye hili, quote "kama ni rijali kama wanaume wengine atahamacka lazima"


ni kweli lazima uwe mwangalifu katika kumwambia asije akakuona tofauti na pia usisubiri hadi asome hisia zako mwenyewe unaweza kukuta hana tym hadi mwingine akakuwahi bure. So take risk but a CALCULATED ONE

Sawa nitakuwa mwangalifu mana ni jambo lisilotabirika kabisaa...kazi ninayo, duu!!


...angalau BJ umetuletea thread ya ki utu uzima hapa :thumb:
will be back!...

Thanx Mbu, bora urudi mana mwenzio nipo na mawazo kweli..na wewe ni mwanaume, nitapata ushauri mzuri ku-handle hili swala...xoxo



Mi nakushauri stay Closer...closer!.

Will be more closer with soft approach!!!..


Nahisi kaa vile mimi....! Hebu vunja ukimya nijue kama ndio mimi, kama ndiyo basi nitakupokea regardless of an approach you use, provided I get your message....!

Whaaao!!..I only wish iwe hivyo mana will be so excited!!..please pokea me bila kujali nilikuanza na usinichezee (joke)


hata ingekuwa ni wewe mrembo kama BJ kajileta, utamwambia hapana nina galfnd/mchumba? lazima utafanikisha utakacho then BJ akija gundua huna lawama coz alikufata mwenyewe.

Hebu Fidel, tupe feedack kwenye swali la Nyamayao..aisee naogopa kweli nikiwaza hivi



Paka wangu asante sana, yani umenipa nguvu jinsi ya kuhandle hili suala..Nitafurahi tu na yeye atakaponipokea na tuwe pamoja vinginevyo atautesa moyo wangu..
Thanks for good wishes, na iwe mkuu!!


Ewaa....
Sasa hebu mfanyie BJ kitchen party umpe mamikakati ya mabodi langueji......unaweza!

Yani Nyamayao kanipa K-party tayari na nimemsoma ipasavyo...kazi kwangu,lol



ana wito jamani Madam, ha ha..inawezekana kwa vile ni mtu wa kiroho zaidi ku-do ni ukiwa kwenye ndoa tu..huwezi jua usimlaumu..


Ndo maanake na waswahili wanasema unaweza penda usipo pendeka hilo nalo liangalie kwa makini na kwa mapana sana

umakini utazingatiwa, asante sana mana umeongea kwa experience ya kiume hivyo sitoleta kujijua kwenye hili



Asante naomba mwongozo..
mimi ni mkristo na ninahisia kama binadamu wengine hivyo sijaona kosa langu..ingekuwa unaweza kuondoa hisia ningeondoa lakini ndiyo hali halisi..Mind you, I was a teen years ago..nipo very serious kwenye hili na uniombee na ww kwenye sala zako kama unaweza..
Avatar inaonyesha ni mtu wa kujiremba of which I am. so WYSIWG..Thanks



Hey Acid, kwanza umenikumbusha hii "Take a Chance if you can" tatizo ni kuwa katika kila situation mtu unayokutana nayo maishani unaweza ku-take a chance??!!

Umenipa confidence ya ajabu, I hope kumteka naye pia as I feel him so deep... Thanx for good wishes!!


Pasco nailed every thing down. All the best BJ

Indeed thanks Nguli, I hope for the best too especially kwayeye kunipenda pia..


mama gaude unasikia!!!!

Huko wapi??he he



MwanaJM1 besti, nimekuelewa na asante kwa fundo hilo..sitokutia aibu inshallah tu anipende na yeye mana roho itatulia na kuwa na amani tele..
Let me try my luck kwa hizo body language na lugha ya kujali...thanx ma


Nakushauri anza kumwambia,nazani atakuelewa.Usiogope haya mambo ni ya kawaida katika maisha!!!

Tukutuku, asante mkuu...naombea anielewe mana haya mambo ni magumu sana..asije kunipa tu kidonda moyoni, naogopa hilo acha tu..



kama usemavyo ni ngumu kukataa ila anaweza kuwa na nia ya kunitumia tu kistarehe wakati mimi nimempendha kwa dhati na kutaka kuwa nae maishan ikiwezakana...ushauri unatingatiwa,asante
 
......be carefuly bibie.....! nimeshawahi kutafutwa na wanawake si chini ya watano in my life......lakini sikumkubalia hata mmoja wao.......! Simply kwa sababu, either walikuwa hawanivutii machoni pangu, ingawa tulikuwa marafiki au sikuweza kuwapenda kiviiiiiile......! Similary kuna wanawake niliwapenda sana, lakini niliambulia a very big nooooooooo.......!

So in this world mara nyingi, watu tunaowapenda tuwe nao, hawapotayari kutupenda tunavyowapenda sisi na wale wanaopenda tuwe nao, hatupo tayari kuwapenda na kuwa nao kama wao wanavyotupenda.
 
NL......hili nalo neno.
 
BJ dearest,mengi umeshaelezwa lkn naomba nikazie hapo pa kutokumwambia,zaidi zingatia kuweka ukaribu na utumie body language ipasavyo kama alivyotangulia kusema FL1 na MJ1.
Kila la kheri dia,kama Mungu amepanga awe wako na iwe.
 
BJ dearest,mengi umeshaelezwa lkn naomba nikazie hapo pa kutokumwambia,zaidi zingatia kuweka ukaribu na utumie body language ipasavyo kama alivyotangulia kusema FL1 na MJ1.
Kila la kheri dia,kama Mungu amepanga awe wako na iwe.

...yaelekea majority ya maoni ya kina dada wanakuasa usimwambie ila 'mwonyeshe' kwa ishara.

Effective (body language) communication mnazungumzia ni 'touching-petting-et al' kama aliyosema MwanajamiiOne, ama ni pamoja na matendo Incl hugging & kissing? chatting, calling & texting...

Ishara zipo za aina nyingi, BJ jifunze hizi pia kumuonyeshea..



...:A S-heart-2:ray2:...
 


Mbu we noma arty:
 

Mbu mi natamani kujua kila moja ina maana gani
 

kumbe ni mtarajiwa wako huyu...ehee mwambie bwana!! mimi mwenzenu nasumbuka na mawazo haya, la hasha natamani niutue huu mzigo
 

My hat's off to you NL!




- "Real men want women of any age who like them, who want to make them feel good

and raise their testosterone level"-
 

Ha ha..MwanaJM1 na madada wengi pia guys mmenipa ushauri mzuri yani ni mimi kujipanga..
Mbu mtarajiwa ana ubantu pia..na mila ni jambo muhimu kuzingatia kwenye hili..nitakupeni feedback ila siyo leo wala kesho mana ni process ha ha


we ukimwangalia tabia yake towrads you unaonaje? anakuzimia ama?? anaweza kuwa pia in the same boat anashindewa kuvunja ukimya!! it doesnt hurt kuvunja ukimyaaaaaaaaaaaaaaaa!!

Whao!! Shishi, good to read frm you kwanza..nikimwangalia namwona mcheshi, social na mtu muwazi kwenye maongezi..anapenda kuwasiliana hapo hapo kama kuna jambo linahitaji umuhimu/kuwasiliana kazini..ana hasira kwa mbali pia yupo straight kwenye maongezi!! Kwahayo naona ni mtu mzuri na ananivutia..
Kunizimia hapo sijajua, I hope he does kimoyomoyo na aje kuniambia..tukiwa kwa same boat itakuwa raha sana...asante kwa ushauri



Walaaah..bibie wish me luck kwa hizo mbinu. asnate sana na let me try my best kuuteka moyo wa huyu kijana kama alivyoteka yeye bila kujijua..
I hope chemistry itatiki)) mbona nitakuwa na xmas na 2011 njema kabisa..ha ha


No comment kwa sasa.

Haya nitasubiria baadae..
 
...yaelekea majority ya maoni ya kina dada wanakuasa usimwambie ila 'mwonyeshe' kwa ishara.

[/COLOR][/SIZE][/FONT]

Ishara zipo za aina nyingi, BJ jifunze hizi pia kumuonyeshea..



...:A S-heart-2:ray2:...

Kha! Mbu tafadhali naomba tuition ya hivyo vidole itamsaidia pia BJ
 
BJ dearest,mengi umeshaelezwa lkn naomba nikazie hapo pa kutokumwambia,zaidi zingatia kuweka ukaribu na utumie body language ipasavyo kama alivyotangulia kusema FL1 na MJ1.
Kila la kheri dia,kama Mungu amepanga awe wako na iwe.

Wiselady, that means a lot...najipanga besti na kuzingatia uliyosema..body languaje itapewa kipaumbele..
Asante na tuombeane, huwezi kujua labda ndo final destination yangu ni kwake..
 

Thanx Ndahani..nipo ndani ya dimbwi la mawazo juu ya huyu kaka..Swa sitoenda kwa pupa, nitaweka strategies kwa hali na mali wakati namsoma vizuri pole pole..
umenipa ujasiri na nguvu pia kupambana na hili jambo..subiri nione mwisho wake!!


Problem Belinda ukiwa kwenye mapenzi, would you know the limit that you can go? I don't think so..You just do it blindly.[/QUOTE]

That's the issue, hata sijui limit inawekwaje!!..especially for my case that I'm so in love!



Hommie, aisee hii hatari..nitakuwa mwangalifu basi mana experience uliyonipa si mchezo..
Jamani nitakuwa makini kwa hili..mana unampenda mtu moyo wake upo kwingine kwa huyo mtu ambaye nae anapenda mwingine..full mchanganyiko yani..


NL......hili nalo neno.

Amesomeka kweli kweli..This is really Next Level
 
...aaaah jamani sasa mnaniangusha,

Naamini kwa silimia kubwa wengi wenu mlizitumia ishara hizo 'kukonyeza'
enzi za ma lovey-dovey, na messages zilikuwa delivered.
mfano; "nipigie!", ...

Iwapo pamoja na kuzidisha ubingwa wa sarakasi za vidole, bado jamaa atajifanya mpofu,
Mtu ajiandae na maisha ya kuwa ignored kwa signs nyinginezo ndani ya ndoa.

Kwenye mapenzi, muhimu ku notice ishara, kuanzia facial, mabega, pose, et al
 

Leo darasa kali sana, nimefarijika kweli kweli..Asante kwa hizo alama nitajifunza na kuapply kwenye mipango yangu ya kumteka huyo kaka..

Nisipofanikiwa nitaficha wapi sura yangu?

Nikuulize kitu? wewe binti akiwambia anakupenda live unachukuliaje? kuwa muwazi usijali hutanikwaza..nataka mtazamo tu kama Fidel na St. RR..ha ha
 
Unauma ila unasaidia..mimi napenda ukweli niumie halafu life goes on!!

BJ, I/m sorry this is by the way wala usinielewe vibaya mpendwa. Just in case, I repeat just in case jamaa amedecline kwanini usinikonside mimi? Kwa sifa za jamaa namna ulivyozilist mimi ninazo tena I'm afraid kusema kuna maeneo nahisi nitakuwa nimemuoutperform kabisa. So please niweke kama plan B ili usiumie kwa kumkosa yeye ila uwe na kitu kingine ambacho kama nasoma vizuri between the lines ni bora kuliko hicho utakachokuwa umekikosa in a way hutakuwa umelose bali umegain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…