Ametoroka shuleni!

tinWyn

Member
Joined
May 20, 2023
Posts
24
Reaction score
23
AMETOROKA SHULENI!
Mtoto wetu DAVID R. KIGELULYE, kimo ~5ft.
Mara ya mwisho kuonekana Iringa – Shule ya San Giovanni Paolo Sec, tarehe 20/08/2025.

Tafadhali yeyote mwenye taarifa atujuze mara moja πŸ™.

Piga:
πŸ“ž +255 714 220 3363 / +255 675 962 254

Nadhani Ilipaswa Kuwa
"Ametoweka Shuleni" na si "Ametoroka Shuleni"

Otherwise mjazie nyama kidogo Kuelezea Sababu Za Yeye Kutoroka ambapo itasaidia sisi watafutaji kupata pa kuanzia.

Isijekuwa katekwa, kauawa inasingiziwa katoroka n.k.
 
Poleni aseeh. Mungu awasaidie mumpate kijana akiwa kwenye afya yake. Hatujui nini kimemkumba nawaombea kheri
 
Kidato gani,na kwanini inaaminika katoroka? Iwapo yapo maelezo ya ziada ni vyema kutolewa ili iwe rahisi kupatikana kwake.
 
20 years old ni mtu mzima huyu ambaye yupo kwenye rika gumu la kujiamini kupitiliza, kuota ndoto nyingi za mchana, na pia kuchukulia mambo kwa wepesi.

All in all, litakuwa ni jambo la heri kama atapatikana akiwa salama.
 
Amen πŸ™
 
Kidato gani,na kwanini inaaminika katoroka? Iwapo yapo maelezo ya ziada ni vyema kutolewa ili iwe rahisi kupatikana kwake.
Sawa, kwa maelezo ya wanafunzi wenzake aliwahi kutoa plan za kuondoka siku moja shuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…