Nashukuru kwamba umeelewa mkuu.!!Kuna point umeonge hapo ni pana ila wachache wata elewa
Wewe ulikataa mimba sio yako,na ulikuwa unamtukana kabisa na kumfukuza. Halafu kesho uanze kumwita “single mother”. Eti unaongea na utumbo kabisa elee mimba ili uje ukague mtoto. Mbwa zako. Mbona mmewafanya wanawake kama za kuwatumia mtakavyo? Firigisi kabisaHabar wakuu,
Muda mrefu kidogo nilijuana na huyu mtoto ambaye hasomi ana miaka 17, nilianza mahusiano naye mwezi wa 7 mwaka huu, lakini kutokana na tabia zake za kuchepuka kwenye mahusiano tulikwazana.
Wiki mbili baadae akawa ananitafuta anasema ana mimba yangu, lakini mimi nilikuwa nikikataa nasema hawezi kuwa na mimba yangu mwanamke hajatulia kama yeye lakini kila siku alikuwa ananitafuta mimi namtukana sitaki hata maongezi naye maana alikuwa hata akitembea na rafiki zangu kabisa
Juzi nilikutana nae tukaongea mengi na kumpa ushauri mzur tu wamaisha, nilipomuuliza kweli una mimba, akasema kweli nilikuwa nina mimba na mimba ya kwako asilimia 100 siwezi kukusingizia, mimi nikamwambia, wewe tatizo lako hujatulia kivyovyote mimi lazima nikane naweza kulea mimba halafu mtoto kuzaliwa ana sura ya rafiki yangu kiukweli nisingeweza, kama kweli ulikuwa na mimba yangu usingetoa mimba inakataliwa lakini mtoto hakataliwi, lakini aliponihakikishia ni mimba yangu na ametoa, mpaka sasa roho yangu inaniuna sana.
Kwanini alitoa mimba kama ilikuwa ya kwangu.
Daaaah roho inaniuma sana
asanteb
Ulitaka kusema kitanda hakizai haramu? Watu siku hizi kufanya ngono wanaona jambo la kawaida sana na hawajali hata kutumia condom. Upo kwenye uhusiano na mtu halafu unatembea na wanaume kama wawili nje. Kasheshe inapokuja unaposhika mimba? Mtoa uzi siyo kama anaona uchungu hapana, anamuonea huruma. Mwanamke wa kutembea naye ni wa miaka 26, huyu amekuwa ametulia angalau. Miaka 17 bado mbichi sana, anaonja onja anangalia ipi ni tamu, ipi siyo tamu. Ndiyo maana ndoa za siku hizi hazidumu sababu watu wanaanza ngono mapema sana. Utasikia dk 2 ushamaliza yaani hunifikishi (huko nyuma ameshakutana na show ya kibabe). Mwanaume naye hujui kukata kiuno, kitandani gogo (Huko nyuma alishakutana na mwanamke anayejua kukata kiuno). Iletwe sheria ya kuoana kwa mikataba. Miaka 3 kila mtu anaendelea na mambo yake kama utataka kurenew mkataba unaenda mahakamani kuapa.Bado kuna wadada wana date immature, inatia huruma!!
Habar wakuu,
Muda mrefu kidogo nilijuana na huyu mtoto ambaye hasomi ana miaka 17, nilianza mahusiano naye mwezi wa 7 mwaka huu, lakini kutokana na tabia zake za kuchepuka kwenye mahusiano tulikwazana.
Wiki mbili baadae akawa ananitafuta anasema ana mimba yangu, lakini mimi nilikuwa nikikataa nasema hawezi kuwa na mimba yangu mwanamke hajatulia kama yeye lakini kila siku alikuwa ananitafuta mimi namtukana sitaki hata maongezi naye maana alikuwa hata akitembea na rafiki zangu kabisa
Juzi nilikutana nae tukaongea mengi na kumpa ushauri mzur tu wamaisha, nilipomuuliza kweli una mimba, akasema kweli nilikuwa nina mimba na mimba ya kwako asilimia 100 siwezi kukusingizia, mimi nikamwambia, wewe tatizo lako hujatulia kivyovyote mimi lazima nikane naweza kulea mimba halafu mtoto kuzaliwa ana sura ya rafiki yangu kiukweli nisingeweza, kama kweli ulikuwa na mimba yangu usingetoa mimba inakataliwa lakini mtoto hakataliwi, lakini aliponihakikishia ni mimba yangu na ametoa, mpaka sasa roho yangu inaniuna sana.
Kwanini alitoa mimba kama ilikuwa ya kwangu.
Daaaah roho inaniuma sana
asanteb
Wanaume na wanawake wote wanapaswa wajue thamani zao. Kila mtu akijua thamani yake na nini anachokitafuta kwenye mapenzi hizi lawama hazitakuwepo. Wazungu walifanya jambo la maana sana kuleta condom na uzazi wa mpango. Kama unaona ngono kwa ni starehe, tumia condom kwa mwanaume au mwanamke uzazi wa mpango ili kuepuka mimba zisizotarajiwa. Vijana wa sasa condom hawataki kutumia, na watoto hawataki. Mwisho wa siku unaenda kutoa mimba vichochoroni. Kikitolewa kizazi na ukashindwa kupata mtoto unaanza kushinda kwa manabii kuombewa. Alichofanya jamaa siyo sahihi na alichokifanya mwanamke siyo sahihi (kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja).Wewe ulikataa mimba sio yako,na ulikuwa unamtukana kabisa na kumfukuza. Halafu kesho uanze kumwita “single mother”. Eti unaongea na utumbo kabisa elee mimba ili uje ukague mtoto. Mbwa zako. Mbona mmewafanya wanawake kama za kuwatumia mtakavyo? Firigisi kabisa
Nimekuelewa vizuri mkuu, ila mie point yangu ilikuwa imeegemea zaidi kwa aina ya wanaume tunao date, Japo ni kweli kosa wanalo wote kwa kutokuwa makini sababu walichokifanya lazima tu kingekuwa na matokeo kama hivyo!!..Ulitaka kusema kitanda hakizai haramu? Watu siku hizi kufanya ngono wanaona jambo la kawaida sana na hawajali hata kutumia condom. Upo kwenye uhusiano na mtu halafu unatembea na wanaume kama wawili nje. Kasheshe inapokuja unaposhika mimba? Mtoa uzi siyo kama anaona uchungu hapana, anamuonea huruma. Mwanamke wa kutembea naye ni wa miaka 26, huyu amekuwa ametulia angalau. Miaka 17 bado mbichi sana, anaonja onja anangalia ipi ni tamu, ipi siyo tamu. Ndiyo maana ndoa za siku hizi hazidumu sababu watu wanaanza ngono mapema sana. Utasikia dk 2 ushamaliza yaani hunifikishi (huko nyuma ameshakutana na show ya kibabe). Mwanaume naye hujui kukata kiuno, kitandani gogo (Huko nyuma alishakutana na mwanamke anayejua kukata kiuno). Iletwe sheria ya kuoana kwa mikataba. Miaka 3 kila mtu anaendelea na mambo yake kama utataka kurenew mkataba unaenda mahakamani kuapa.
Acha ufal.aHabar wakuu,
Muda mrefu kidogo nilijuana na huyu mtoto ambaye hasomi ana miaka 17, nilianza mahusiano naye mwezi wa 7 mwaka huu, lakini kutokana na tabia zake za kuchepuka kwenye mahusiano tulikwazana.
Wiki mbili baadae akawa ananitafuta anasema ana mimba yangu, lakini mimi nilikuwa nikikataa nasema hawezi kuwa na mimba yangu mwanamke hajatulia kama yeye lakini kila siku alikuwa ananitafuta mimi namtukana sitaki hata maongezi naye maana alikuwa hata akitembea na rafiki zangu kabisa
Juzi nilikutana nae tukaongea mengi na kumpa ushauri mzur tu wamaisha, nilipomuuliza kweli una mimba, akasema kweli nilikuwa nina mimba na mimba ya kwako asilimia 100 siwezi kukusingizia, mimi nikamwambia, wewe tatizo lako hujatulia kivyovyote mimi lazima nikane naweza kulea mimba halafu mtoto kuzaliwa ana sura ya rafiki yangu kiukweli nisingeweza, kama kweli ulikuwa na mimba yangu usingetoa mimba inakataliwa lakini mtoto hakataliwi, lakini aliponihakikishia ni mimba yangu na ametoa, mpaka sasa roho yangu inaniuna sana.
Kwanini alitoa mimba kama ilikuwa ya kwangu.
Daaaah roho inaniuma sana
asanteb
Mkuu kwa mujibu wa sheria ya makosa ya kujamiiana (SOSPA 2008) kufanya mapenzi na binti mwenye umri chini ya miaka 18 ni UBAKAJI.Habar wakuu,