mimba haikuwa yako......alinasa na alitaka tu ''insurance policy''.yaani ahadi yako ya ndoa,na kwa kuwa hakupendi kama unavyompenda..akaona anaweza kumaliza tatizo jumla bila wewe kumsumbua na akawaweka nduguze vizuri poa at the same time.
MY TAKE: kama unampenda kweli kweli,basi angalia kama unaweza vumilia hili na mengine mengi(am sure yapo) ambayo huyajui na zaidi sana ukweli wa uwezekano wa yeye kutokukupenda kama wewe unavyompenda!
kama huwezi basi mkuu.......japo inauma................chukua uamuzi mgumu kabisa........break up with her!
(been in the similar path bruh..........i know how you feel! lakini polpe yangu haiwezi kukusaidia!)